Hassan J. Mosoka
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 682
- 323
Nadhani hamjafanya utafiti wa kutosha kuhusu haya magzeti. Nadhani tuna makundi mawili ya watu katika uteja wa magazeti; Kundi moja ambalo ni la watu wachache, wasomi na wachambuzi yakinifu hununua aina ya magazeti tajwa hapo juu, but the rest of the people wananunua magazeti ya Shigongo na hawa ni wengi sana bila kujali itikadi zao za vyama, haya magazeti ya Shigongo yana Udaku, umbeya na zaidi huzungumzia personal life za watu wanaoitwa mastaa hapa Bongo ingawa sijui kama kweli ni mastaa