mshikachuma
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 2,853
- 627
Najua na kufahamu kuwa Tanzania kuna newspapers nyingi sana kutoka
kampuni tafauti,na yote yanauzika na kusomwa kila kona ya Tanzania yetu na hata nje.
Lakini utafiti niliyoufanya pindi ninapokwenda kununua magazeti kwenye vibanda au kwa
hawa news vendor barabarani nikagundua magazeti ya RAIA MWEMA,MWANANCHI,
MWANAHALISI na TANZANIA DAIMA.kidogo na NIPASHE na THE GURDIAN yananunuliwa kwa
kasi sana! Na ukikuta kati ya watanzania makini 3 wanasoma magazeti,basi wawili utakuta
wanasoma magazeti hayo niliyoyaorodhesha hapo juu. Na hata maofisini hali ni hiyohiyo
kwenye vyombo vya usafiri hali ni hiyohiyo. Ukitaka kuamini ikifika saa tano asubuhi nenda
barabarani katafute magazeti hayo kama utayapata! uyapati ng'o unless uzunguke sana.Lakini
hayo mengine utayakuta yanapigwa na vumbi tu.
Sababu hasa ni nini? nisaidieni wanaJF. -Nawasilisha