Kwanini magari yana matairi 2 mbele kuzito, na matairi 4 nyuma kwepesi?

K 4 LIFE

JF-Expert Member
Jul 21, 2015
2,567
416
Wakuu hivi kwa nini magari yana matairi mawili 2, mbele kuliko kuzito sana sana kutokana na kubeba engine ya gari .

Lakini cha ajabu gari hiyo hiyo gari ina matairi manne 4 kwa nyuma ambako ni kwepesi sana kwani hakuna uzito mkubwa kama sehemu ya mbele kwenye engine.

Why?
 
Hii ni puzzle au? Maana hata maelezo yako ni mazito kwa mbele kuliko uku chini!
 
Jibu ni kwamba inakuwa mzito mbele wakati haina mzigo tu, ikipakiwa mzigo uzito wote unakuwa nyuma.
Pili Matairi 4 mbele Usukani utakuwa mzito kiasi ambacho haitakuwa rahisi gari kudhibiti wakati wa mwendo wa kasi.
Hayo ndio yangu
 
haina uzito? vipi uwepo wa engine? sio nzito?
 
Wakuu hivi kwa nini magari yana matairi mawili 2, mbele kuliko kuzito sana sana kutokana na kubeba engine ya gari .

Lakini cha ajabu gari hiyo hiyo gari ina matairi manne 4 kwa nyuma ambako ni kwepesi sana kwani hakuna uzito mkubwa kama sehemu ya mbele kwenye engine.

Why?

mleta maada ungejaribu kufafanua kidogo gari dogo zote zina tyre nne mbili nyuma na mbili mbele. Anyway najua ulimaanisha zile za mizigo ambazo load kubwa ipo nyuma wakati ikiwa na mzigo.
 
mkuu hivi uzito wa mzigo na ule wa engine upi ni mkubwa? pili gari ndogo zina tairi 4 tu yaani 2 nyuma na mbele
 
kwani wewe unaelewa uzito wa engine ni tani /Kg ngapi? Tuanzie hapo kwanza ili tujue tukusaidie kutokea wapi.
 
mkuu uzito wa engine hauwezi kulinganisha viroba vya mkaa au maembe kama ufikiriavyo hapo
 
Kwenye nagari madogo yasiyo ya mizigo uzito wa engine uko balanced hauko mbele sana wala hauko nyuma
 
Muuliza swali ana akili ndogo sana na I'm sory to say... Yan anadhan kwamba engine ni nzito kuliko tani nane ambayo inabebwa na fuso.....? Maswali ya ndotoni haya. Tizama semitrela za kampuni ya Tiga cement na tizama wanavyopanga mzigo. Na angalia mpangilio wa tyre alafu njoo angalia logic ya swali lako.
 
Back
Top Bottom