We acha tu ila nimejifunza kitu kuhusu nyumba za kupanga tumtangulize MUNGU kwa Kila kituUliwafanya nini mkuu,hebu tupe shule
Sijampata nikimpata kama huyo ni kula papuchi mwanzo mwishowewe je kula unakwama wapi?
Kama ni Dodoma nipe namba yake... Nikaondoe uchawi wakeNimemkuta anafanya ivyo vitendo nimewauliza wenyeji wakanijib ndivyo alivyo wamesha mzoea
Sema ulichowafanya ili na wengine tulipate somoUmenikumbusha mbali Sana nilipanga nyumba kuanzia mama,baba mpka watoto wote wachawi nilicho wafanya ilibaki historia mtaani dawa ya Moto ni moto
Huyo mwanga, kabisa na hako katoto ni kakuangalia sana lazima kapewe tu na ndiyo kamuacha atampa kwa hasiraKama alikuambia anajua unachofanya wakati ulienda kwake hayupo. Huyo 100% atakuwa mwanga. Usipoangalia hata mwanao atapewa mikoba.
🙆🏽♂️🙆🏽♂️Anataka akuroge uwe punga mkuu.
aiseee,huyy inawezekana hata usiku anaruka na ungoNi kweli kabisa,nilikuwa na binti mmoja kutoka kondoa,nilikaa naye kwenye mahusiano mwaka mmoja na nusu,kumbe anafanya maushirikina yake huko ya kufa mtu,then mimi aijui lolote!
Mungu mkubwa alisafiri kwenda Mwanza kwa ndugu zake,aliniachia ufunguo wa nyumba yake,na ilikuwa haipiti siku bila kwenda kwake,(japo yeye hayupo,ila moyo ulikuwa hauwezi kustahimili bila kutia mguu pale kwake)
Siku moja nimeenda kwake,moyo wangu ukawa mzito sana,na sikujua tatizo nini,nikapiga goti pale ndani,nikasali sana kimoyo moyo,nilipomaliza nikajitupa kitandani nikiwa nimefumba macho,nilipofungua macho nikatazama sehemu anaweka mikoba yake,(palikuwa na mikoba kama 20 hivi imetundikwa kwenye vistand vyao vile)
Nikiwa nimetazama ile stand,niinuka nikachukua mkoba mmoja tu,nilipofungu mle ndani nilichoka sana,sana sanaa!
Nilikuta kuna madawa kibao,na vihirizi vidogo vidogo 3,magome ya miti,na kikaratasi kimeandikwa kama kiarabu kwa wino mwekundu!
Nilichoka sana,sikuwahi kujua kama binti mrembo kiasi kile angeweza kuwa na mambo ya kishirikina!
Kibaya zaidi,nikiwa chumbani kwake namalizia upekuzi wangu,aimu yake ikaita,akanambia najua unachofanya,nakuomba sana usinielewe vibaya!(hii iliniogopesha sana,lakini nikavaa ujasiri wa ajabu,mifawa dawa,kucha, na nywele vilivyokuwa vimefungwa fungwa pamoja na zile hirizi NIKAZICHOMA MOTO)
Kesho yake alipanda gari kurudi,nilimwambia tangu sasa kaa mbali na mimi,japo kwa bahati mbaya sana kumbe alikuwa ame-conceive,nilimuacha kwa hakika japo kwa maumivu na huruma nyingi kutokana na ujauzito!
Kwa sasa nasubiri mtoto wangu akue kue kidogo nimchukue maisha yaendelee,Kondoa sijui kwanini wanapenda sana mambo ya ushirikina!
uliwafanya nini mkuu??Umenikumbusha mbali Sana nilipanga nyumba kuanzia mama,baba mpka watoto wote wachawi nilicho wafanya ilibaki historia mtaani dawa ya Moto ni moto
alikuwa mzuri??Hapa ninapoishi nyumba yakupanga,tupo wapangaji watano mmoja dem ajaolewa mwenyeji wa kondoa mrangi amenishangaza, kunamambo anayafanya kila asubuhi ya alfajir anaenda njia panda karibia na dirisha la chumba changu ana mwaga maji yakiwa kwenye chupa na siku nyingine nilimshuudia, akimwaga maji SAA saba mchana maji yakiwa kwenye chupa ana yamimina mkononi alafu ana yamwaga kwa kuyalusha, lusha sija jua kwanini anafanya ivyo.
Hilo tendo la mtu mmoja linakufanya uwahukumu warangi wote?????????????Hapa ninapoishi nyumba yakupanga,tupo wapangaji watano mmoja dem ajaolewa mwenyeji wa kondoa mrangi amenishangaza, kunamambo anayafanya kila asubuhi ya alfajir anaenda njia panda karibia na dirisha la chumba changu ana mwaga maji yakiwa kwenye chupa na siku nyingine nilimshuudia, akimwaga maji SAA saba mchana maji yakiwa kwenye chupa ana yamimina mkononi alafu ana yamwaga kwa kuyalusha, lusha sija jua kwanini anafanya ivyo.