Kwanini mabinti wa kitanga wanagombaniwa?

Yani mpaka huwa naogopa kusema natokea huko ni kero isee.
HAA WE WA HUKO...NAOMBA NAMBA ZAKO TAFADAHALI NATAKA NIJUE MITAA FULANI YA TANGA😛😛😛😛😵🙄😳😀😱😕😡🙁😉🙂 HAHAHAHAH JOKES
 
kwa sababu wana tuunganisha na huduma za tgo kwa urahis hao"
 
Mie nipo tanga ni kweli wanajua kupenda Na kujali mwanaume
 
Unabati kama ulirudi kutoka Tanga, wengi wanalowea huku.

Tanga ilikuwa zamani
siku hizi mbinu zote hata wachaga wanazijua
na zaidi ya nusu ya watu wa Tanga wanaishi Dar
imebaki historia tu
 
Tanga ilikuwa zamani
siku hizi mbinu zote hata wachaga wanazijua
na zaidi ya nusu ya watu wa Tanga wanaishi Dar
imebaki historia tu
Wacha maneno wewe, hukupata mafundi😀😀
 
Tanga raha bhana ni wasafi wanalugha nzur kwa bed.. niulizeni mimi
 
Hawana lolote ukiniambia wana sifa ya ushirikina hapo ntakuelewa.
 
Hapo sawa na mijanaume ilivyo inaona eti mahaba kumbe imerogwa angalia tu huko wala sio pa kuamini.
 
Hahahah ww noma[emoji1] ..Tanga wanachofanya wazigua chumbani sijawahi ona Tanzania hii yani kama feni
Mmh basi kumbe ww bado hakuna raha kama unyamwezi lazima maji utaita mma [emoji4] [emoji4] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Mmh basi kumbe ww bado hakuna raha kama unyamwezi lazima maji utaita mma [emoji4] [emoji4] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Aysha mimi mtoto wa Tanga ujue. Inafikia wakati nikishamtongoza mwanamke namuulizia kabila lake na nikishashtuka ni mzigua..basi sikurupuki nafanya maandalizi na mazoezi mechi ichezwe wikiend kama siku 3/wiki mbele..shughuli ninayokutana nayo kwa wazigua hawajahi kuniangusha hata siku moja.

Aysha niache niwasifie wazigua[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Haya bwana kila muwamba ngoma ngozi huvutia kwake...[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…