Kwanini Lowassa asilete mvua?

Kwanini Lowassa asilete mvua?

INA MAANA MTU UKITOA MSAADA WA CHAKULA AU PESA NI HADI UWE NA MADARAKA YOYOTE AU NI KUGUSWA NA MATATIZO YALIYOTOKEA.
Kwa hiyo hajaguswa na tatizo la upungufu wa mvua bado? akiguswa atakuwa na madaraka katika serikali ya awamu ya tano?
 
Nakumbuka enzi zile alitaka kuleta mvua ya kutengeneza, nahisi hiki ni kipindi muafaka kutuletea mvua ya kutengeza.
Enzi hizo alikuwa Waziri Mkuu. Mtengezeeni Bajeti ya kuendeleza wazo hilo. Inawezekana. Thailand,China na chi nyngi tu duniani huzalisha mvua.
Mungu tu ndo analeta mvua na si vinginevyo.............
Pole najua bado uko 3G,Be Smart.
Lowasa usanii kasomea. Digrii yake ya kwanza ni Bachelor of Arts in Fine and Performing Arts.Ukitafsiri Kiswahili ni digrii ya usanii katika fani zote ikiwemo usanii wa kwenye majukwaa.

Na anaitumia vilivyo. Waliomtunuku hawakukosea.Chuo kikuu cha DAR ES SALAAM mliompa I SALUTE YOU.YOU GAVE THE DEGREE TO THE RIGHT PERSON.
Inasikitisha kiumbe kama wewe ukawa kama wao.

RAINMAKING
China creates 55 billion tons of artificial rain a year—and it plans to quintuple that.
cloud-seed.jpg
 
Nakumbuka enzi zile alitaka kuleta mvua ya kutengeneza, nahisi hiki ni kipindi muafaka kutuletea mvua ya kutengeza.
Kabisa! Mimi ni pro-nature lakini kwa ukame huu na watutengenezee hiyo mvua artificially.
 
Lowassa alitakiwa atunukiwe nishani ya usanii tangu akiwa CCM na akiwa Waziri Kuu. Jamaa bada ya kupiga Rich alitaka za mvua ya kutengeneza kule Mtera tu ili kukabiliana na upungufu wa umeme.

Alipojulikana JK akamtoa baru kama mtoto mdogo.

Huenda wewe ndiye msanii. Huyu Mh. anayewaumiza vichwa hata mnakosa usingizi amesoma sana, na anajua anaongea nini kwani ametembea nchi mbalimbali na kuona wenzetu wanaishi vipi pindi hali ya hewa inapobadilika na kuwa kavu.

ANGALIA WENZETU WALIVYO MBALI ZAIDI LAKINI SISI TUNAWEKA SIASA HATA KWENYE JAMBO LINALOGUSA MAISHA YA WANANCHI KWA SABABU TU NI WA CHAMA TAWALA HUWA WEWE NI MALAIKA HUKOSEI NA PIA USISHAURIWE HATA UKIAMBIWA KULA UCHAFU ULE USIOLIKA NA MTU KUTEMA MATE AKIUONA KWA AJILI YA CHAMA, UTAKUBALI KULA KWA SABABU YA CHAMA.

IFIKE WAKATI TUBADILIKE NA TUWE WAKWELI. ENDAPO KAMA TUNGEISHAURI SERIKALI KUWA NA BAJETI YA MAAFA MBONA INAWEZEKANA KUTENGENEZA MVUA????

LAKINI TUNAWEKA SIASAMBELE.

:::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::

Rain Making and Man-Made Weather in China

20080317-cloud_seeding203%20bbc.gif

Cloud seeding China is the world's leader in artificial rain making. To induce more rain between April and June, when much of China suffers from drought, scientists use aircraft, rockets, artillery and even land-based furnaces to propel small amounts of silver iodine or liquid nitrogen into certain types of moisture-laden clouds which produce crystals that turn into rain as they fall into warmer areas below. Depending on the type of cloud, dry ice and salt can also be added to enhance the effort. Rain-making doesn't come without its costs. Occasionally villagers complain of rain-inducing missiles crashing through the roofs of their homes.​

How Cloud Seeding Works: 1) Silver iodide is fired into cloud using flares on planes or from the ground. 2) Water droplets then attach to these particles. 3)They fall as snow if surface temperatures are below or near freezing, or as raindrops at warmer temperatures. 4) Heat released as the droplets freeze boosts updrafts, which pull more moist air into the cloud.

Cloud seeding was pioneers in the United States in the 1940s. Efforts to control the weather began in the 1950s when Beijing was given access to “cloud seeding” data from the Soviet Union and today is kept alive at research facilities such as the Beijing-based Study Institute of Artificial Influence on the Weather.

Rain Making in China

China boasts the largest rainmaking program in the world ahead of Russian and Israel. According to the Weather Modification Research Center, China employs for than 50,000 people for the task and uses an arsenal that includes 6,781 artillery guns, 4,110 rocket-launchers. 30 modified planes, and some on trucks, are employed in the struggle to extract rain. Guns with shells that explode like fireworks are best for extracting rain from small, clouds while rockets, sometimes shot hundreds at a time, and planes are better for spreading chemicals over a wide area. The techniques are not used for bringing rain clouds to parched areas, only inducing clouds already in a given place to produce rain.

China is thought to have the world's largest rain-making operation. It has an annual budget of over $100 million and offices in 30 provinces. Between 1995 and 2003, China spent $266 million on rainmaking and $500 million on it between 2003 and 2008. Chinese scientists claim that cloud-seeding can increase precipitation in targeted areas by 10-15 percent. They claim Chinese rainmakers have increased rainfall by 210 billion cubic meters---enough to meet the annual needs of 400 million of China's 1.3 billion people between 1995 and 2004. The current five year plan calls for an increase of man-made rain of 50 billion cubic meters a year---nearly enough to fill the Yellow River.

::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::

ACHENI SIASA,
 
Dunia inalia ukame wanajua nini kipo. Wewe kwa vile unapenda hutaki kuangalia kilema cha mwenza wako!!!

Si yeye ndo anapiga domo mitaani na jamaa zake wapiga dili? Badala ya kupeleka chakula awapelekee mvua
Mtkf rais ashasema ukame hakuna wapa njaa hakuna sasa lowasa alete mvua ya nini!
Hebu heshimuni matamko ya Mtkf rais

Ova
 
Edo ni msanii duniani hakuna mfano.
Usisahau pia yale mamilioni alikuwa anamwaga kwenye nyumba za dini kuelekea uchaguzi mkuu mwaka 2015, sasa hv kimya kama sio yeye vile!
You can imagine hayo mamilioni yangetosha kabisa kununua mvua ya kifurushi cha mwezi
 
Dunia inalia ukame wanajua nini kipo. Wewe kwa vile unapenda hutaki kuangalia kilema cha mwenza wako!!!

Dunia inalia ukame kutokana na manadiliko ya hali ya hewa, lakiini kwa ukanda wetu ni hali ambayo inatokea baada ya miaka kupita tena kaika baadhi ya nchi na siyo zote.

Lakini turudi kwenye post yangu ya msingi hapo juu;

Je, unamuonaje Mh. Lowasa jinsi alivyo umiza kichwa baada ya kuona hali inatisha na kufikiria hata kwenda mbali zaidi na kufikiria kuleta kitu hiki ambacho wenzetu walitumia toka miaka 1950's??????

je huyu ni msanii au mwenye hekima na busara ambazo wengine wanapaswa kuzifuata kwa sababu tukiangalia mfano nchi au sehemu ya nchi ikikumbwa na janga la njaa, viongozi na wenye uwezo wao hawayaoni machungu yake isipokuwa wale wananchi wa hali ya chini ndio wanaoiona kuwa kuna njaa.

Mfano mwingine tunaoishi DSM hatuwezi kuathirika na suala la ukame kwani hatuna mashamba ni kama mh. Rais alivyosema kuwa "serikali haina shamba" ni kweli hata sisi wa DSM hatuna shamba. Shamba yetu ni mifuko yetu.
 
Usanii wa Lowassa sio wa sayari hii.
Lile igizo la mvua za Thailand nilimnyooshea mikono.
 
Back
Top Bottom