Kwanini Lowassa asilete mvua?

Kwanini Lowassa asilete mvua?

Kura ya urais hukumpa akuletee mvua yeye mwehu!
Mtakufa na ukame
Magufufuli anakuambia mvua zipo
Wanao sema hakuna mvua ni wanasiasa na wapiga dili
Kwani alipotangaza anataka kuleta mvua yeye alikuwa............
 
NIAMBIE MOJA YA TAMKO ALILLOTOA LIKAFANYIWA KAZI. KUHUSU SERIKALI NA LIKAFANYIWA KAZI.

YAANI BADO MZIMU WA LOWASA UNAWAUMIZA AKILI LUMUMBA TYPE. KILA MILALA MNAMUOTA TU YEYE.

KIONGOZI MKUBWA HAPA NCHINI NI RAIS PEKEE. AU UNAKIRI KUWA LOWASA ALISHINDA UCHAGUZI ULIOPITA?????
Kwani anavyotaka kufanya harambee ya chakula kwa watu wenye njaa yeye ni kma nani Serikalini? Anavyotaka kuwapa watu chakula basi atuletee na ile mvua yake,kwanza ni bora alete ile mvua Maana itasaidia watu kulima na kupata chakula
 
Ujenzi wa shule za kata.

Ni sahihi wakati ule alikuwa na madaraka na amri ya kusema au kufanya kitu kwa manufaa ya umma. Lakini leo hilo ni jukumu la serikali isipokuwa yeye kama raia mzalendo akiguswa na janga akiwa na uwezo anaweza kujitolea.

Wakati ule alitoa tamko hilo yeye akiwa ndani ya serikali ni siyo yeye ambaye angeleta mvua ya kutengenezwa isipokuwa serikali yake aliyokuwa akiiongoza wakati ule.

Kwa hiyo kama mnataka mvua fanyeni maombi kanisani nayo itanyesha.
 
Kwani anavyotaka kufanya harambee ya chakula kwa watu wenye njaa yeye ni kma nani Serikalini? Anavyotaka kuwapa watu chakula basi atuletee na ile mvua yake,kwanza ni bora alete ile mvua Maana itasaidia watu kulima na kupata chakula

Kama unajua umuhimu wake kwa Taifa hili usingefanya figisu kaika uchaguzi uliopita.

HIVYO ENDELENI KUISOMA NAMBA, NA BADO MTAISOMA SANA.....
 
Kama unajua umuhimu wake kwa Taifa hili usingefanya figisu kaika uchaguzi uliopita.

HIVYO ENDELENI KUISOMA NAMBA, NA BADO MTAISOMA SANA.....

Basi itakuwa bora ikawa kuleta mvua ni moja ya ajenda yake 2020. maana uchumi wetu unategemea KILIMO 85% ya watanzania tunategemea kilimo, hivyo akija na sera ya kugawa mvua kila mtaa, kata, wilaya angalau kwa wiki mara moja itakuwa safi sana.
 
UMEPATA MAMLAKA GANI YA KUTANGAZA KUWA HAKUNA MVUA?
RAIS NDIYO ANAJUA KM KUNA MVUA AU HAKUNA. FANYA KAZI WW UTALALAMIKA SANA MVUA HAIPO. Mlimchagua wenyew sasa mnacholalamika kwa Lowassa nn?
NAMBA ZINASOMEKA MPAKA LUMUMBA WANAMLILIA LOWASA AWALETEE MVUA? Magu kaza mpaka watu wale nyasi hakuna cha bure bure hapa. Nani akuletee mvua? Beba ndoo ukamwagilie shamba lako.
KILA MTU ATABEBA MSALABA WAKE ''In magu's voice'
Wameipenda wenyew
Chaguo lao milele
Mtoa uzi kinachokuliza nn km siyo ujinga?
Ccm ishazeeka na sasa hiv ina laana, miaka 54+ haijafanya kitu. Baada ya kuwaletea maendeleo watu wameanza kuwakandamiza, ajira imesimamisha, mikopo hakuna, HELSB 15. Hali ngumu n.k
MUNGU AMEKASIRIKA NA HAYA NI MAPIGO KAMA YALE YA PHARAO, Mtalitaja sana jina la Lowassa.
MJUE KM MNALAANA MLIPOINGIA TU MADARAKANI
1. TETEMEKO LA ARDHI
2. NJAA + UKAME
3. HALI IMEKUWA NGUMU PESA HAKUNA AJIRA MESIMAMISHA, MIKOPO MESHINDWA KUTOA
4. HELSB 15%
5. MEKUWA OMBA OMBA KILA SIKU KUKOPA KUKOPA DENI LA TAIFA LIMEKUWA KUBWA
6. NO INCREMENT, KUPANDISHWA MADARAJA + NO POSHO
mebaki kubwabwaja tu mtakoma.
Na bado mtalitaja jina Lowassa sana
 
Lowassa alitakiwa atunukiwe nishani ya usanii tangu akiwa CCM na akiwa Waziri Kuu. Jamaa bada ya kupiga Rich alitaka za mvua ya kutengeneza kule Mtera tu ili kukabiliana na upungufu wa umeme.

Alipojulikana JK akamtoa baru kama mtoto mdogo.
Kwlowasa ndo anaongoza serikali...??
Alaf simmesema hakuna ukame wala njaa???
Ss tupo bze tunazindua mwendokasi
 
UKAME HAKUNA NJAA HAKUNA MVUA MNATAKA YA NINI NYIE LUMUMBAZ

OVA
Lowassa alitakiwa atunukiwe nishani ya usanii tangu akiwa CCM na akiwa Waziri Kuu. Jamaa bada ya kupiga Rich alitaka za mvua ya kutengeneza kule Mtera tu ili kukabiliana na upungufu wa umeme.

Alipojulikana JK akamtoa baru kama mtoto mdogo.
 
Basi itakuwa bora ikawa kuleta mvua ni moja ya ajenda yake 2020. maana uchumi wetu unategemea KILIMO 85% ya watanzania tunategemea kilimo, hivyo akija na sera ya kugawa mvua kila mtaa, kata, wilaya angalau kwa wiki mara moja itakuwa safi sana.
Sina Usingizi !!!!!! - LOWASA.jpg
 
Lowassa alitakiwa atunukiwe nishani ya usanii tangu akiwa CCM na akiwa Waziri Kuu. Jamaa bada ya kupiga Rich alitaka za mvua ya kutengeneza kule Mtera tu ili kukabiliana na upungufu wa umeme.

Alipojulikana JK akamtoa baru kama mtoto mdogo.
Hakuna njaa wala ukame. Mtalitaja sana jina Lowassa mwaka huu. Na bado hii ni trailler tu bado picha.
Ulipanda ccm utavuna ccm. Over
 
YAANI SIKU MOJA HAIWEZI KUPITA BILA TEAM LUMUMBA KUANDIKA KUHUSU LOWASA.

JAMAA ANAWANYIMA USINGIZI, NA BADO MTAISOOMA NAMBA SANA MWAKA HUU.
Well said mkuu
Na sasa hiv wako kwenye mpango wa kuzima masuala ya internet.ILA HIYO HAITAWAHUSU WANA CCM SBB WANA OFFER YAO
Nasikia 500 wana ccm wanapata dk 60( 20dk mitandao mingine), Sms 2000 na GB 3 wiki nzima.
 
Tunataka Lowassa alete mvua yake ya kunyesha Mtera tu.
Ulipanda ccm utavuna ccm. Mtalitaja sana jina lake mwaka huu. Na bado hii ni trailler tu subiri siku watu wakiaanza kufa kwa njaa, mkaweke kambi kwa Lowassa au awape chakula. Usijali uliipigia ccm lkn mpaka sasa unaonesha umeishaichoka ccm, atawaletea mvua sbb yy ndiyo raisi wa nchi hii. Ila km siyo raisi basi maombi yako yawasilishe kwa Magu sbb huyo ndiyo mtukufu wenu, atawaletea mvua.
UKIPANDA CCM UTAVUNA CCM
 
Nakumbuka enzi zile alitaka kuleta mvua ya kutengeneza, nahisi hiki ni kipindi muafaka kutuletea mvua ya kutengeza.
MTALITAJA SANA JINA LA LOWASSA MWAKA HUU. NA BADO NYIE ENDELEEN KUISOMA NAMBA NA UKAME WENU. Na sasa hiv wameingia kweny mitandao, malaika wameshuka kuzima mitandao km malaika wenu alivyosema.
"Ukipanda ccm utavuna ccm''
 
Back
Top Bottom