Kwanini Lowassa asilete mvua?

Kwani lowasa ndo anaongoza serikali...??
Alaf simmesema hakuna ukame wala njaa???
Ss tupo bze tunazindua mwendokasi
 
Nakumbuka enzi zile alitaka kuleta mvua ya kutengeneza, nahisi hiki ni kipindi muafaka kutuletea mvua ya kutengeza.
ha ha ha umenikumbusha ile ya kutengeneza LOWASA aliyokuwa kaivalia njuga!! CHADEMA hawakuizungumzia hii kama sera yao na kwenye mikutano ya kampeni.Ilitakiwa watembee wakijinadi kuwa tutawaletea mvua hewa ya kutengeneza!

Lowasa msaniii looooo!!! puuuu!!!!
 
ha ha ha umenikumbusha ile ya kutengeneza LOWASA aliyokuwa kaivalia njuga!! CHADEMA hawakuizungumzia hii kama sera yao na kwenye mikutano ya kampeni.Ilitakiwa watembee wakijinadi kuwa tutawaletea mvua hewa ya kutengeneza!

Lowasa msaniii looooo!!! puuuu!!!!
Usanii aliuanza kitambo.

Jasiri haachi asili.
......
.......huu mwaka mtalitaja sana hilo Jina
 
Edo ni msanii duniani hakuna mfano.
Usisahau pia yale mamilioni alikuwa anamwaga kwenye nyumba za dini kuelekea uchaguzi mkuu mwaka 2015, sasa hv kimya kama sio yeye vile!

Lowasa usanii kasomea. Digrii yake ya kwanza ni Bachelor of Arts in Fine and Performing Arts.Ukitafsiri Kiswahili ni digrii ya usanii katika fani zote ikiwemo usanii wa kwenye majukwaa.

Na anaitumia vilivyo. Waliomtunuku hawakukosea.Chuo kikuu cha DAR ES SALAAM mliompa I SALUTE YOU.YOU GAVE THE DEGREE TO THE RIGHT PERSON.
 
Kura ya urais hukumpa akuletee mvua yeye!
Mtakufa na ukame
Magufuli anakuambia mvua zipo
Wanaosema hakuna mvua ni wanasiasa na wapiga dili
 
NIAMBIE MOJA YA TAMKO ALILLOTOA LIKAFANYIWA KAZI. KUHUSU SERIKALI NA LIKAFANYIWA KAZI.

YAANI BADO MZIMU WA LOWASA UNAWAUMIZA AKILI LUMUMBA TYPE. KILA MILALA MNAMUOTA TU YEYE.

KIONGOZI MKUBWA HAPA NCHINI NI RAIS PEKEE. AU UNAKIRI KUWA LOWASA ALISHINDA UCHAGUZI ULIOPITA?????
Ujenzi wa shule za kata.
 
Back
Top Bottom