technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 11,975
- 48,843
Hakushindwa uchaguzi ila Sisiem ilipora matokeo na kugeuza kibao kuwaweka ndani vijana waliokuwa wanakusanya matokeo mpaka juzi wamefuta kesi.Mpaka kuwafunika wapigania chama kama wakina Mwalimu.
Mpaka kuwapoteza wakina Wenje wamekosa nguvu ya kupambana na kutetea wananchi.
Baada chadema impe cheo mtu kama Vincent Nyerere wao wanaangaika na mtu ambaye ana makando kando ya ufisadi.
Timu ya vijana kama Vincent Nyerere,Wenje,Kiwia wangeweza kujenga chama maana hawapo bungeni lakini sio Lowassa huyo ninayemjua.
Hivi toka lini Lowassa na &com aliowaacha ccm wameacha ufisadi?
Lowassa apumzike na yeye asiwe muongo na mtu wa kubadilika alituhaidi mwenyewe kuwa akishindwa uchaguzi ataenda kuchunga ngombe .
Sasa mtu ambaye anashindwa kutimiza tu ahadi ndogo kama hii anawezaje kuaminiwa kupewa nchi?..
Lazima tuambiane ukweli kuwa mtu kutopelekwa mahakamani sio kigezo cha kutokuwa fisadi.
Acha vijana wanaoaminika wafanye Kazi .
Uliondoka kwenda wapi mkuu?Sie tulioondoka mlitucheka sana, CDM mlipotea na mtapotezwa sana
Mi uwa nashaanga eti kwanini ajapelekwa mahakamani.....Hao vijana wanaoshabikia maelezo kwamba mwenye ushahidi ampeleke Lowassa Mahakamani ni wapumbavu, wajinga na malofa!
Uwe unatazama meza kuu wakati wa vikao vya Sacco's yenu upate kujua cheo chakeKwani Lowasa ana cheo gani cdm?
Nasimamia nchi sio chamaWe kajamaa kanafiki sana.
Hueleweki unasimamia nini, bora wakina mzee mwanakijiji tunaona wanachosimamia.
Huwa nakuchukulia kwa tahadhali sana.
Ni kweli kabisa mkuu Technically hata ukishindwa kesi na kufungwa haina maana kama ulikuwa mhalifu ama kama umeshinda kesi haina maana kuwa wewe siyo mhalifu maana inawezekana kuwa ulishindwa kuwa na uwakilishi wa kisheria wa kutosha ama umekuwa na wakili nguli aliyeishinda kambi nyingine kisheria. Tatizo letu kubwa ni kuwa bendera kufuata upepo kaka, vijana ambao tunawategemea wawe watetezi wa wanyonge ati leo hii wanawatetea wezi ati sababu wamekihama chama cha wezi. Sijui kama tutafika kwa akili kama hii.Ni uwa nashaanga eti kwanini ajapelekwa mahakamani.....
Kutopelekwa mahakamani sio kigezo pekee cha kukufanya uwe msafi........
Vijana wanaumia wanashindwa hata jinsi ya kutetea chama Kwa sababu ya mtu
Mjumbe wa kamati kuuKwani Lowasa ana cheo gani cdm?
kwani kuna kitu gani hapa kakosea? huyu nadhani anasimamia ukweli siyo kuburuzwa kama baadhi yenu. pale penye ukweli anasema ukweli japo unauma.We kajamaa kanafiki sana.
Hueleweki unasimamia nini, bora wakina mzee mwanakijiji tunaona wanachosimamia.
Huwa nakuchukulia kwa tahadhali sana.
Umejitahidi kwelikweli.Mpaka kuwafunika wapigania chama kama wakina Mwalimu.
Mpaka kuwapoteza wakina Wenje wamekosa nguvu ya kupambana na kutetea wananchi.
Baada chadema impe cheo mtu kama Vincent Nyerere wao wanaangaika na mtu ambaye ana makando kando ya ufisadi.
Timu ya vijana kama Vincent Nyerere,Wenje,Kiwia wangeweza kujenga chama maana hawapo bungeni lakini sio Lowassa huyo ninayemjua.
Hivi toka lini Lowassa na &com aliowaacha ccm wameacha ufisadi?
Lowassa apumzike na yeye asiwe muongo na mtu wa kubadilika alituhaidi mwenyewe kuwa akishindwa uchaguzi ataenda kuchunga ngombe .
Sasa mtu ambaye anashindwa kutimiza tu ahadi ndogo kama hii anawezaje kuaminiwa kupewa nchi?..
Lazima tuambiane ukweli kuwa mtu kutopelekwa mahakamani sio kigezo cha kutokuwa fisadi.
Acha vijana wanaoaminika wafanye Kazi .
Uzi kwa wingi ni NYUZI, ungeandika kuwa huwa unapenda kupitia NYUZI ZAKEMkuu uwa nakukubali sana...NAPENDA SANA KUPITIA UZI ZAKO.....endelea hivyo hivyo...nyie ndio VIONGOZI BORA WA KESHO
Very very sad safari bado ni ndefu sana...Ni kweli kabisa mkuu Technically hata ukishindwa kesi na kufungwa haina maana kama ulikuwa mhalifu ama kama umeshinda kesi haina maana kuwa wewe siyo mhalifu maana inawezekana kuwa ulishindwa kuwa na uwakilishi wa kisheria wa kutosha ama umekuwa na wakili nguli aliyeishinda kambi nyingine kisheria. Tatizo letu kubwa ni kuwa bendera kufuata upepo kaka, vijana ambao tunawategemea wawe watetezi wa wanyonge ati leo hii wanawatetea wezi ati sababu wamekihama chama cha wezi. Sijui kama tutafika kwa akili kama hii.