Kwanini Lowassa anawapoteza vijana CHADEMA?

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,955
48,752
Mpaka kuwafunika wapigania chama kama wakina Mwalimu.

Mpaka kuwapoteza wakina Wenje wamekosa nguvu ya kupambana na kutetea wananchi.

Baada chadema impe cheo mtu kama Vincent Nyerere wao wanaangaika na mtu ambaye ana makando kando ya ufisadi.

Timu ya vijana kama Vincent Nyerere,Wenje,Kiwia wangeweza kujenga chama maana hawapo bungeni lakini sio Lowassa huyo ninayemjua.

Hivi toka lini Lowassa na &com aliowaacha ccm wameacha ufisadi?

Lowassa apumzike na yeye asiwe muongo na mtu wa kubadilika alituhaidi mwenyewe kuwa akishindwa uchaguzi ataenda kuchunga ngombe .

Sasa mtu ambaye anashindwa kutimiza tu ahadi ndogo kama hii anawezaje kuaminiwa kupewa nchi?..

Lazima tuambiane ukweli kuwa mtu kutopelekwa mahakamani sio kigezo cha kutokuwa fisadi.

Acha vijana wanaoaminika wafanye Kazi .
 
Hakushindwa uchaguzi ila Sisiem ilipora matokeo na kugeuza kibao kuwaweka ndani vijana waliokuwa wanakusanya matokeo mpaka juzi wamefuta kesi.
 
snaamin wazee kama kina lowasa wana ushawish mkubwa sana kisiasa,kila mtu ana umuhim wake kwe chama na umuhim wa vicent nyerere tofauti na umuhim wa mamvi...........hata ccm kinaendeshwa kwa busara za wazee
 
Hao vijana wanaoshabikia maelezo kwamba mwenye ushahidi ampeleke Lowassa Mahakamani ni wapumbavu, wajinga na malofa!
Mi uwa nashaanga eti kwanini ajapelekwa mahakamani.....

Kutopelekwa mahakamani sio kigezo pekee cha kukufanya uwe msafi........

Vijana wanaumia wanashindwa hata jinsi ya kutetea chama Kwa sababu ya mtu
 
Ni uwa nashaanga eti kwanini ajapelekwa mahakamani.....

Kutopelekwa mahakamani sio kigezo pekee cha kukufanya uwe msafi........

Vijana wanaumia wanashindwa hata jinsi ya kutetea chama Kwa sababu ya mtu
Ni kweli kabisa mkuu Technically hata ukishindwa kesi na kufungwa haina maana kama ulikuwa mhalifu ama kama umeshinda kesi haina maana kuwa wewe siyo mhalifu maana inawezekana kuwa ulishindwa kuwa na uwakilishi wa kisheria wa kutosha ama umekuwa na wakili nguli aliyeishinda kambi nyingine kisheria. Tatizo letu kubwa ni kuwa bendera kufuata upepo kaka, vijana ambao tunawategemea wawe watetezi wa wanyonge ati leo hii wanawatetea wezi ati sababu wamekihama chama cha wezi. Sijui kama tutafika kwa akili kama hii.
 
Mpaka kuwafunika wapigania chama kama wakina Mwalimu.

Mpaka kuwapoteza wakina Wenje wamekosa nguvu ya kupambana na kutetea wananchi.

Baada chadema impe cheo mtu kama Vincent Nyerere wao wanaangaika na mtu ambaye ana makando kando ya ufisadi.

Timu ya vijana kama Vincent Nyerere,Wenje,Kiwia wangeweza kujenga chama maana hawapo bungeni lakini sio Lowassa huyo ninayemjua.

Hivi toka lini Lowassa na &com aliowaacha ccm wameacha ufisadi?

Lowassa apumzike na yeye asiwe muongo na mtu wa kubadilika alituhaidi mwenyewe kuwa akishindwa uchaguzi ataenda kuchunga ngombe .

Sasa mtu ambaye anashindwa kutimiza tu ahadi ndogo kama hii anawezaje kuaminiwa kupewa nchi?..

Lazima tuambiane ukweli kuwa mtu kutopelekwa mahakamani sio kigezo cha kutokuwa fisadi.

Acha vijana wanaoaminika wafanye Kazi .
Umejitahidi kwelikweli.
 
Lowassa ana pesa na pesa
Kama unavyoijua hakuna mbabe
Mbele ya pesa kama aliweza kumiliki chama kizima atashindwa nini kuwafunika hao wanywa viroba
 
Ni kweli kabisa mkuu Technically hata ukishindwa kesi na kufungwa haina maana kama ulikuwa mhalifu ama kama umeshinda kesi haina maana kuwa wewe siyo mhalifu maana inawezekana kuwa ulishindwa kuwa na uwakilishi wa kisheria wa kutosha ama umekuwa na wakili nguli aliyeishinda kambi nyingine kisheria. Tatizo letu kubwa ni kuwa bendera kufuata upepo kaka, vijana ambao tunawategemea wawe watetezi wa wanyonge ati leo hii wanawatetea wezi ati sababu wamekihama chama cha wezi. Sijui kama tutafika kwa akili kama hii.
Very very sad safari bado ni ndefu sana...
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom