Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

Huu ni ukweli

lakini hii mada itafutwa sasa hivi na mods wa hii forum

Mimi naamini wakifuta hawatabadilisha matokeo, kweli wasaliti ni wengi sana, mpaka huku kwenye forums?????????? But anyway, naamini cybercrime haihusiani hata kidogo na topic yangu, unless wamefikia bei nao.
 
Nikweli ndio rais lakn nashangazwa na hawa wanaotumwa kuandika watu majina ktk nyumba,inamaana bao la mkono lipo?
 
Na wenzenu hawaichagui CCM wanamchagua Magufuli..


Hak hah haaa! Hapo Mwanakijiji dawa imekuingia, ikapenyeza ndani na kukukolea vizuri kabisaa. Teheh heh! Duh, TEAM LOWASSA, CHADEMA, & UKAWA kwa ujumla wamepiga bonge la mzigo. Pongezi kwao. Nami nilikuwa kama mwanakijiji na wengine, ila I had tovswim with the current, otherwise ujajikuta umeshupaa misuli ya shingo kama mwanakijiji.

Si mwaona? Hata lile smile bomba la mkuu wa kaya limeshayumba, na sasa amekosa uchangamfu kabisa - kaona na kuamini kuwa WANAUME wamedindisha. Kila siku ni kama yuko kwee msiba, na hofu kuu imemfanya awe mtu wa kutoa makaripio na vitisho kwa wapiga kura.

VIVA LOWASSA
VIVA CHADEMA
VIVA UKAWAAAAAAAAA
 
Back
Top Bottom