Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

Nikweli ndio rais lakn nashangazwa na hawa wanaotumwa kuandika watu majina ktk nyumba,inamaana bao la mkono lipo?

Ninatoa Rai Wanaukawa wote wajiamini na wasitishike na vitisho vyovyote. Mkuu hao tayari washashtukiwa, Mungu anawaumbua kila kukicha.
 
Mimi naamini wakifuta hawatabadilisha matokeo, kweli wasaliti ni wengi sana, mpaka huku kwenye forums?????????? But anyway, naamini cybercrime haihusiani hata kidogo na topic yangu, unless wamefikia bei nao.

kaa utulie tu, wanakulia timing ya kufuta uzi wako

Mimi mwenyewe sijafanya kosa lolote ila usishangae baada ya muda kuona nimekula ban kwa kuwaambia ukweli
 
Kwa uchaguzi wa Huru na Haki mimi binafsi naona Lowassa atashinda kwa kishindo kikubwa sana kuwa Rais wa Awamu ya Tano wa JMT, katika pitapita zangu za hapa na pale mikoani nimekutana na yafuatayo
1.CCM ina wafuasi wachache mno
2.Wananchi Wengi sana wamechukizwa na serikali ya ccm
3.Anayempinga Lowassa anaoneka ni mshamba sana mtaani.
4.Wafuasi wa ccm hawajiamini tena, wanatumia muda mwingi kujihami, hata kama hubishani naye
5.Ukawa inawanganisha watu wa aina zote, kwa mfano ukikuta watu hotelini hasa katika taarifa ya habari ya saa 2 utaona kila mmoja anasubiria taarifa ya Lowassa kwa hamu kubwa.
6.Watu wengi (niliokutana nao) wana imani kubwa kwamba Lowassa atashinda kwa kishindo lakini ccm watayakataa matokeo.
7.Exclusively nilikutana na kikongwe mmoja wa ccm. Ashawahi kuwa mjumbe wa halmashauri kuu ya chama, alinieleza kwamba kura zitaibiwa sana na nguvu zitatumika sana lakini hata wakiiba hawataweza kufikia za Lowassa. Na apia alienda mbali na kusema CCM watayakataa matokeo lakini jamii za kimataifa zitasaidia sana kwa hili.
8.Madereva, wahudumu wa hoteli na abiria wengi niliopata kukutana nao kwenye magari ni wapenzi wa UKAWA.
9. Kuna wabunge na madiwani wengi wa ccm ambao ni wafuasi wa Lowassa as a presidential figure.

Naunga mkono hoja zote....hasa hiyo ya 9
 
Hak hah haaa! Hapo Mwanakijiji dawa imekuingia, ikapenyeza ndani na kukukolea vizuri kabisaa. Teheh heh! Duh, TEAM LOWASSA, CHADEMA, & UKAWA kwa ujumla wamepiga bonge la mzigo. Pongezi kwao. Nami nilikuwa kama mwanakijiji na wengine, ila I had tovswim with the current, otherwise ujajikuta umeshupaa misuli ya shingo kama mwanakijiji.

Si mwaona? Hata lile smile bomba la mkuu wa kaya limeshayumba, na sasa amekosa uchangamfu kabisa - kaona na kuamini kuwa WANAUME wamedindisha. Kila siku ni kama yuko kwee msiba, na hofu kuu imemfanya awe mtu wa kutoa makaripio na vitisho kwa wapiga kura.

VIVA LOWASSA
VIVA CHADEMA
VIVA UKAWAAAAAAAAA

teh teh teee, umetisha kaka.
 
Mods tafadhalini sana, kwanini mnapin mada ambazo zina maudhui tofauti??? Mnatupotezea raha ya kufanya uchambuzi bhana! Mada ikiwa fupi unaweza ukafanya reference na mtiririko unakuwa unaeleweka,

Acheni Kutumika.
 
Ni point ya Kijinga lakini huo ndo ukweli! Ukitaka kuonekana mshamba, huna elimu, huna msimamo basi shabikia CCM!

Hajafikiria kwa nini wanachuo wamebanwa kiasi hicho kana kwamba eti hawatapiga kura kwa sababu walijiandikisha vyuoni na sasa wapo majumbani.
Wanaojielewa washaipiga teke ccm, na ninaamini ccm wakishinda idadi kubwa sana ya wananfunzi watadisco kwa sababu walikuwa active UKAWA.
 
Mods tafadhalini sana, kwanini mnapin mada ambazo zina maudhui tofauti??? Mnatupotezea raha ya kufanya uchambuzi bhana! Mada ikiwa fupi unaweza ukafanya reference na mtiririko unakuwa unaeleweka,

Acheni Kutumika.

i told you

hii forum sio ile ya zamani
 
Kwa uchaguzi wa Huru na Haki mimi binafsi naona Lowassa atashinda kwa kishindo kikubwa sana kuwa Rais wa Awamu ya Tano wa JMT, katika pitapita zangu za hapa na pale mikoani nimekutana na yafuatayo
1.CCM ina wafuasi wachache mno
2.Wananchi Wengi sana wamechukizwa na serikali ya ccm
3.Anayempinga Lowassa anaoneka ni mshamba sana mtaani.
4.Wafuasi wa ccm hawajiamini tena, wanatumia muda mwingi kujihami, hata kama hubishani naye
5.Ukawa inawanganisha watu wa aina zote, kwa mfano ukikuta watu hotelini hasa katika taarifa ya habari ya saa 2 utaona kila mmoja anasubiria taarifa ya Lowassa kwa hamu kubwa.
6.Watu wengi (niliokutana nao) wana imani kubwa kwamba Lowassa atashinda kwa kishindo lakini ccm watayakataa matokeo.
7.Exclusively nilikutana na kikongwe mmoja wa ccm. Ashawahi kuwa mjumbe wa halmashauri kuu ya chama, alinieleza kwamba kura zitaibiwa sana na nguvu zitatumika sana lakini hata wakiiba hawataweza kufikia za Lowassa. Na apia alienda mbali na kusema CCM watayakataa matokeo lakini jamii za kimataifa zitasaidia sana kwa hili.
8.Madereva, wahudumu wa hoteli na abiria wengi niliopata kukutana nao kwenye magari ni wapenzi wa UKAWA.
9. Kuna wabunge na madiwani wengi wa ccm ambao ni wafuasi wa Lowassa as a presidential figure.
Ni ukwli usio pingika
 
Ni Saduku LA Kura pekee
lina uwezo wa Kumzuia Lowassa

kuwa Mkuu wa serikali mpya
ya Tanzania 2015
kupitia

chadema chini ya Umoja
wa Katiba ya wananchi (Ukawa )unaoundwa
Na vyama vinne

Jambo

Kiuhalisia Lowassa
atapigiwa kura Na zaidi ya vyama
vitano, Chadema ,Ccm, Cuf,

Nccr Mageuzi, Nld Na watanzania wote

Tufahamu Urais sio zawadi !!!!
Lowassa ni Kiongozi ! Sio Mkandarasi
 
Mtasubiri sana labda 2025

Ni Saduku LA Kura pekee
lina uwezo wa Kumzuia Lowassa

kuwa Mkuu wa serikali mpya
ya Tanzania 2015
kupitia

chadema chini ya Umoja
wa Katiba ya wananchi (Ukawa )unaoundwa
Na vyama vinne

Jambo

Kiuhalisia Lowassa
atapigiwa kura Na zaidi ya vyama
vitano, Chadema ,Ccm, Cuf,

Nccr Mageuzi, Nld Na watanzania wote

Tufahamu Urais sio zawadi !!!!
Lowassa ni Kiongozi ! Sio Mkandarasi
 
Napenda kutoa ushauri wangu kwa MASIKINI WA TANZANIA CCM imetutesa sana kwa miaka zaidi 38.Maisha ya watanzania ni ya Kimasikini watanzania tunashida za kila aina magonjwa elimu ajira ustawi Wa maisha Wazee wametelekezwa ili mradi in shida kila kitu.Masikini watanzania tuungane kuutafuta ukombozi Wa maisha yetu Tuiondoe CCM Mwaka huu.
 
Back
Top Bottom