Serikali au wizara husika kama nyumba na makazi, biashara na uwekezaji na katiba na sheria wakalitazame hili na kutoa mwongozo mara moja.
Mfumo unaotumika kwa sasa wa kutamatisha upangaji kwenye guest houses, lodges na mahotel kila ifikapo saa nne asubuhi bila kuzingatia muda aliowasili mpangaji chumbani pale huku gharama zikiwa ni za masaa 24, ni wizi wa fedha za wateja katika nyumba hizo za wageni.