Kwanini Liwe gazeti la MSEMAKWELI na Sio ANNUR

Kwanini Liwe gazeti la MSEMAKWELI na Sio ANNUR

Malaria Sugu

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2009
Posts
2,653
Reaction score
270
Nadhani imefika hatua ya kujiuliza hasa tunapoona mambo hayaendi sawa. hapa tz kunamagazeti ya govt, makampuni na ya dini. kunaubauguzi mkubwa hapa hasa katika matangazo katika magazeti ya Dini. tuaona magazeti ya madhehebu fulani kama vile msemakweli linalomilikwa na kikirsto linapewa matangazo na viongozi wa govt huku likijikusnyia mamilion ya walipa kodi. lkn Annur. Alhuda wao wananyimwa. huu ubaguzi wa nini katika taasisi za govt
 
Back
Top Bottom