Kwanini Levina Mukasa alijiua UDSM?

Kwa ufupi tu, hawa akina Mark Victor na Omari Saloti wako wapi kwa sasa? Na huyo dada Modesta aliyemsaliti yuko wapi?

Ni vizuri kuwakumbuka wote hawa na upuuzi wao hata kama leo hii wana nafasi muhimu ili jamii ifahamu ushetani uliowalea.
 
Haaaa haaaa niaje Majomba? Of course bila Mabebs dunia ingepwaya.

Afu jana nilikuwa na Maxence na Lemutuz studio tukiongelea social media. Kipindi kinarushwa Sunday.

Si wakaniambia ulikuwepo Bongo? Inakuwaje JULIUS unafika Bongo hunitafuti?

We Sanctus....Julius ndiyo nani? Nadhani umechanganya post hii hapa ni ya Nyani Ngabu siyo Julius?!!!
 
We Sanctus....Julius ndiyo nani? Nadhani umechanganya post hii hapa ni ya Nyani Ngabu siyo Julius?!!!

Mkuu jambo usilolijua ni kama usiku wa Kiza. Nyani Ngabu huyu huyu ni julius wa zama za JamiiForums Original . . . .

Haaaaa haaaa Nyani Ngabu mi namiss enzi zileee. Kuhani? Wapi @Waberayo? Wapi @FMSE achia mbali Le Mutus nk?
 
Last edited by a moderator:
Reactions: Ame
I have a book titled THE MYTH OF MZEE PUNCH. Kina kila kitu.
 
Kwa ufupi tu, hawa akina Mark Victor na Omari Saloti wako wapi kwa sasa? Na huyo dada Modesta aliyemsaliti yuko wapi?

Ni vizuri kuwakumbuka wote hawa na upuuzi wao hata kama leo hii wana nafasi muhimu ili jamii ifahamu ushetani uliowalea.

Oh my! I just came across this topic.....Omari Saloti ni marehemu sasa, alifariki siku nyingi may be 12 or 13 years ago.
 
Hivi hilo kundi au huyo mtu anayejiita Punch bado yupo mpaka sasa?
 
 
Aisee!Ina sikitisha ila huyu Mzee Punch nime mkubali sana the way alivyo kua akiwapanchua viongozi wa nchi.Jaman hebu wenye kumjua huyu jamaa watupe details zake.je punch alikua ni mtu au kundi?Kama ni kundi kilikua na members wengi tu ina maana hamna hata mmoja anaejulikana?All in all R.I.P DADA LEVINA.
 

Shuleni kwetu hawakuja
 
hii story hadi imenitoa machozi. unyanyapaa wa asili bado upo vijijini wanawake hawathaminiwi
 

Inahitaji ujasiri
 
inasikitisha sana kwa wanazuon kukosa maarifa ,elimu haijawakomboa ,kwa maana inatakiwa msomi atumie taaluma kutatua matatizo ndan ya jamii na sio kuchochea vitendo viovu had kukatisha uhai wa wengine ,R I P ,levina mukasa
 
Inahitaji ujasiri

Ni kweli, ila historia inahitaji watu majasiri ili ikamilike na iandikwe kwa ufasha. Hicho kisa ni cha muda mrefu, lakini kama ukisoma in between lines kinasisimua, binafsi nakisoma tena na tena katika msisimko ule ule, ubongo wangu una maswali mengi sana ndo maana ninashauku ya kujua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…