Tajiri wa Magomeni
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 4,274
- 2,921
- Thread starter
- #121
petrol ndo mpango mzimadiesel kuna pipe zinakufaga kila wakati
petrol ndo mpango mzimadiesel kuna pipe zinakufaga kila wakati
Land rover zote ni gari za hovyo sana, very unreliable, kama unataka ufilisike sababu ya gari nunua any land rover car. Safari moja shamba nyingine garage. Hakuna kampuni hata moja limebaki kutumia land rover as their daily driver.
Sijui madesigner walikuwa hi kwa kilevi gani, defender wameiharibu moja kwa moja
Hebu lete takwimu za mauzo huko USA tuone kama kweli TUNDRA /TACOMA zimeteka soko!Toyota tundra ni gari nzuri na zimeteka soko la Marekani na Canada, shida ya hizi gari zina engine kubwa karibu zote ni 5.7 ltr V8 Petrol. Na pia ni left hand.
Nenda GoogleHebu lete takwimu za mauzo huko USA tuone kama kweli TUNDRA /TACOMA zimeteka soko!
Wazee wa toyota kwa kujisifia hamjambo.
Sent using Jamii Forums mobile app
discovery td5 ni msala.ila 110 mashineLand rover zote ni gari za hovyo sana, very unreliable, kama unataka ufilisike sababu ya gari nunua any land rover car. Safari moja shamba nyingine garage. Hakuna kampuni hata moja limebaki kutumia land rover as their daily driver.
Tajiri wa Magomeni hiyo Td5 (5 cylinders) ni aina ya injini ambayo ilikuwa ni Mbadala wa Td300. Hivyo hiyo Td5 injini imetumika kote kwenye Land Rover Defender 110/90 na Land Rover Discovery 1&2.discovery td5 ni msala.ila 110 mashine
Land rover zote ni gari za hovyo sana, very unreliable, kama unataka ufilisike sababu ya gari nunua any land rover car. Safari moja shamba nyingine garage. Hakuna kampuni hata moja limebaki kutumia land rover as their daily driver.
Hao jamaa wa TFL channel naona wamepewa Defender mpya baada ya ile ya kwanza kuzingua,
ngoja tuone review yao.
Warudishe injini wanazotumia kwenye Discovery 3/4 zile SDV6 na SDV8 Kwa diesel saizi watu wanazijua nje ndani.Gari mpya kabisa 0 mileage imezingua inahitaji engine mpya LR engineers wenyewe ndo wamesema. That's a LR for you. Magari ya hovyo sana haya. Hata hiyo nyingine itawazingua tu tusubiri.
Gari mpya kabisa 0 mileage imezingua inahitaji engine mpya LR engineers wenyewe ndo wamesema. That's a LR for you. Magari ya hovyo sana haya. Hata hiyo nyingine itawazingua tu tusubiri.
Hii LR Defender mpya inaonekana kabisa haitaki shurba, ngoja tuwape nafasi TFL wafanye review yao tuone, labda ile ya kwanza ilikua na tatizo kipindi cha production maana si mara ya kwanza kwa baadhi ya matoleo mapya kuzingua na kuwa recalled nakumbuka kuna kipindi Hilux & Fortuner za diesel zishawahi kuwa recalled.
Mkuu sio hii Defender mpya tu bali LR karibu zote. Gari zao zinasifa ya unrealiability kuanzia Disco 1&2, Ranges karibu zote ni matatizo matupu na sasa hizi Defenders.
LR 3&4 walijitahidi kidogo ila bado hazipo kwenye viwango vya any Japanese cars in terms of realibility.
Sio bahati mbaya kuona hakuna organization yeyote duniani inatumia LR as their daily driver wakati enzi za 110 na disco 1 walikua wameshika organizations na serikali nyingi tu duniani.
1pz ni 1hz iliopunguzwa cylinder moja uimara ule ule1PZ sijawahi kuzielewa kwa kweli ila 13B ni ya kibabe 😂😂😂!!!
1HZ ndio mashine ya ndima kwa miaka na miaka na still anaendelea kuitumia tu hata kwenye matoleo ya 2020! Siku akikatisha production ya 70 series watu wengi tutaumia sana.
Ila 1VD sijawahi itumia japo nikafeel pulling yake ila kwa body jepesi la 70 series itakuwa ina move sio kitoto.
Basi itakuwa iko njema1pz ni 1hd iliopunguzwa cylinder moja uimara ule ule
Less power kidogo kulingana na kukatwa cylinder moja
Kama ukiweza ipenda ugumu wa 1nz 4 cyl basi ndo ugumu ule ule utakuepo pindi imekatwa cylinder moja