Kwanini lakini?

Kwanini lakini?

Kuna hii kasumba ya baadhi ya familia kijana wa kiume hata kama hajafikia umri wa kuoa, wazazi au ndugu zake wanamwambia asioe mapema kwasababu hatawasaidia ndugu zake. Uhusiano wa mimi kuoa na kuwaidia ndugu au wazazi unakujaje hapa? Mi naona wangefocus kumuombea kijana awe na kipato kikubwa na awe na moyo wa kusaidia.
Nyinyi mnaonaje?
Nadhani cha msingi kila jamaii inapaswa kujua kuwa kila mtu anapaswa kuwajibika kwa maisha yake binafsi na kama ni kusaidia mtu anapaswa kuwasaidia wazazi wake au wa mumewe, mkewe tu. Pia ikiwa kuna ndugu ambaye kutokana na sababu zisizoweza kuzuilika kama ugonjwa wa muda mrefu au ulemavu au mjane. Wengine wote kila mtu anatakiwa apambane na hali yake.

Hii tabia ya mtu akisoma anaonekana amesoma kwa ajili ya kutunza familia au ukoo mzima inasababisha watu wawe wezi, wajinga au wachanganyikiwe. Ni kukwamishana tu na kuumizana kisaikolojia kiakili na kimhemko pia.
 
Nadhani cha msingi kila jamaii inapaswa kujua kuwa kila mtu anapaswa kuwajibika kwa maisha yake binafsi na kama ni kusaidia mtu anapaswa kuwasaidia wazazi wake au wa mumewe, mkewe tu. Pia ikiwa kuna ndugu ambaye kutokana na sababu zisizoweza kuzuilika kama kama ugonjwa wa muda mrefu au ulemavu. Wengine wote kila mtu anatakiwa apambane na hali yake.

Hii tabia ya mtu akisoma anaonekana amesoma kwa ajili ya kutunza familia au ukoo mzima inasababisha watu wawe wezi, wajinga au wachanganyikiwe. Ni kukwamishana tu kisaikolojia kiakili na kimhemko pia.
Asante
 
🦹‍♀️🦹‍♀️🦹‍♀️🦹‍♀️🦹‍♀️🦹‍♀️🦹‍♀️🦹‍♀️🦹‍♀️
👩‍❤️‍💋‍👨👩‍❤️‍💋‍👨👩‍❤️‍💋‍👨👩‍❤️‍💋‍👨👩‍❤️‍💋‍👨👩‍❤️‍💋‍👨👩‍❤️‍💋‍👨
 
Back
Top Bottom