Mzee Saliboko
JF-Expert Member
- Jan 29, 2018
- 1,329
- 1,044
Kuna hii kasumba ya baadhi ya familia kijana wa kiume hata kama hajafikia umri wa kuoa, wazazi au ndugu zake wanamwambia asioe mapema kwasababu hatawasaidia ndugu zake.
Uhusiano wa mimi kuoa na kuwaidia ndugu au wazazi unakujaje hapa? Mi naona wangefocus kumuombea kijana awe na kipato kikubwa na awe na moyo wa kusaidia.
Nyinyi mnaonaje?
Uhusiano wa mimi kuoa na kuwaidia ndugu au wazazi unakujaje hapa? Mi naona wangefocus kumuombea kijana awe na kipato kikubwa na awe na moyo wa kusaidia.
Nyinyi mnaonaje?