Wanaume ndo mnaongoza kwa kubadilika tabia kuliko wanawake mi navyoonaHabari wakuu,
Kuna mkasa umetokea leo kwa jamaa yangu na imekua incident kama ya saba hivi yenye kufanana kuisikia...Ni kwamba jamaa analalamika kuwa mke wake alibadirika ghafla tabia na baada yakufanya uchunguzi alikuja kugundua kuwa anatembea na boss wake kazini na alipojaribu kumbananisha mwanamke kampandishia kuwa wavunje ndoa....
Hii experience ya mwanamke kubadilika tabia anapoanza kuchepuka nimekutana nayo mara nyingi ila kwa upande wa wanaume ni tofauti,wengi tuna michepuko ya hapa na pale lakini ni mara chache sana kusikia kuwa michepuko imemfanya mwanaume abadilike kitabia(ndani ya ndoa/mahusiano),kwa upande wangu nimewahi kusikia mara moja tu.
Swali ni kwamba,ni nini kinapelekea hiyo tofauti ? au ndo mwanaume mashine ?
Hapa siwezi kusema chochoteHabari wakuu,

Muogope Mungu mkuu.....kwa macho yako umeona kesi za wanaume ni nyingi kuliko wanawake ?Wanaume ndo mnaongoza kwa kubadilika tabia kuliko wanawake mi navyoona
Sent using Jamii Forums mobile app
Point nzuriMwanamke anapoamua kucheat ujue kuna jambo nyuma ya pazia limemfika pomoni, na akicheat hupenda mazima yaaani anahamisha akili na upendo kwa mchepuko. Sasa shida ndo inaanzia hapo, kumuona mumewe ka kakake tu. Ni vyema wanandoa kutatua changamotoo za ndani mwenu mapema
Naanza kukuelewawe cheat with LOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOVE!