Kwanini kutafuta mume kumeongezeka sana?

Kwanini kutafuta mume kumeongezeka sana?

Maisha yamekuwa magumu siku hizi hasa kwa Dada zetu ambao wanaishi maisha ya kuwa na kazi ambazo siyo lasimi.....hata hivo siyo maisha tu kuwa magumu pia kubadilika kwa nyakati maana now days mwanaume kuoa mwanamke anaona kazi sana hivo bora awe na uchumba usio na ndoa
 
Kwa sababu wanaume ndio wameonyesha kutekwa na kupotea. Lakini pia kwa trend ilivyo, ukilinganisha na ukimya wa wenye kaya, wataendelea kutekwa na kupotezwa. Wa mama wanatafuta wa akiba, iil hata wakitekwa wawili, abaki na mmoja.
Khaahh Khaahh
 
Tatizo tumekua sukari sana now days na uchache pia unachangia
 
Nyumba ndogo sio dili tena, kwa sasa ni mwendo chap chap maana hizi ni cost affordable
 
Back
Top Bottom