Kwanini kutafuta mume kumeongezeka sana?

Kwanini kutafuta mume kumeongezeka sana?

Conrad84

Senior Member
Joined
Feb 14, 2016
Posts
104
Reaction score
43
Wanajamvi,

Nmekuwa nkifatilia sana idadi ya KE wanao tafuta wenza ila kwa awamu hii ya JPM naona kasi imezidi. Labda mnisaidie.
 
Wanajamvi,

Nmekuwa nkifatilia sana idadi ya KE wanao tafuta wenza ila kwa awamu hii ya JPM naona kasi imezidi. Labda mnisaidie.

Kwa sababu wanaume ndio wameonyesha kutekwa na kupotea. Lakini pia kwa trend ilivyo, ukilinganisha na ukimya wa wenye kaya, wataendelea kutekwa na kupotezwa. Wa mama wanatafuta wa akiba, iil hata wakitekwa wawili, abaki na mmoja.
 
Ndio maisha hayo napenda wanavyoondokana na aibu ya kutafuta mpenzi mitandaoni. Wanaume mmnaringa mko wengi tena humu ndio mmejaaaaaaa, acha wawasake kama huko hamuwaoni.
 
Wanajamvi,

Nmekuwa nkifatilia sana idadi ya KE wanao tafuta wenza ila kwa awamu hii ya JPM naona kasi imezidi. Labda mnisaidie.
Wanaume wengi wamechalala.....hawahongi kama zamani.

Wadada wanaamua bora wajitangaze kuolewa na kama unavyojua wanawake zetu wa kibongo ukimuoa basi unalo hilo kila kitu unasukumiziwa wewe mwanaume.....
 
Nilicheka comment moja baada ya serikali kutangaza zile ajira 3000 za waalimu wa sayansi...wale wa arts waliobaki wanaosubiri walisema kwa kuwa wengi wa sayansi na waliopata ajira ni wanaume, na wengi wa arts waliobaki kusubiri ni wanawake, basi watakapoanza ajira wawasaidie kwa kuwaoa si wakaoe wanawake wa vijijini wanakopangiwa..ukiona hivyo ujue life s tough
 
Ilikuwa ni hivi kulikuwa na wahongaji wa mahela ya kufa mtu siku hizi wametoweka so siku hizi kuhonga mwisho elfu 5 sasa wameona bora watumike kwenye ndoa bata zimetoweka kwenye kuhave fun.Siku hizi hakuna ishu za kusema nakula ujana
 
Watulie hatuoi kipindi hiki hali ngumu sana?
 
Wanajamvi,

Nmekuwa nkifatilia sana idadi ya KE wanao tafuta wenza ila kwa awamu hii ya JPM naona kasi imezidi. Labda mnisaidie.
Dunia inazidi kukolea utandawazi,2.Wanawake kupoteza sifa yao ya aibu. 3.wengi wao hawawazi ndoa kweli ila kuna sehemu analenga.n mwisho idadi ya wanaume ndogo.Kwng mm anayetafu siwezi siwezi kuoa.
 
Back
Top Bottom