Kwanini kusiwe na sheria ya mtu kuchagua dini/dhehebu akifikisha miaka 18?

Kwanini kusiwe na sheria ya mtu kuchagua dini/dhehebu akifikisha miaka 18?

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
2,691
Reaction score
2,303
Habarini,
Kumekuwa na mgongano wa maslahi karibu kwenye kila famila ya kiafrika pale linapokuja swala la wazazi kuanza kumpeleka mtoto mdogo kuabudu dini fulani wakati mtoto hajui lolote na baadae anafuata na kukubali asichokijua bali alichoaminishwa tangu utoto.

Kama mambo mengi ikiwemo ajira,nida,kuoa,ubunge,nk yanafanyika baada ya mtu kufikisha miaka 18 basi na kuabudu pia kuwekewe sheria hiyo ili mtu aabidu anachokijua baada ya kuwa mtu mzima.

Nawasilisha!!
 
Kuna ndoa imeshindikana kumaterialize nini? Maana Hawa 7th day kiboko unakuta toto kali ila limelewa doctrine za "Mama White", hatoki humo.
 
Back
Top Bottom