Kwanini kuna watu hawaheshimu "personal space"?

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
1,481
Reaction score
3,551
Nimekuja sehemu msibani, nimekaa kwenye kiti, amekuja jamaa ameweka kitu chake kinagusana kabisa na kiti changu, huku mabega yake yakikutana na yangu.

Nikakausha, sasa jamaa anapiga story anajisahau anakugusa miguuni, hii kitu ni very awkward. Nashindwa kumuelewa huyu jamaa yeye anaona kawaida au anamatatizo hanastarabika?
 
Pole sana
Kwa mawazo haya tuko na safari ndefu hadi kuifikia nchi ya ahadi
Kuna uwezekano mkubwa ana:-
-changamoto ya kiafya/allergy,
-hajawahi kuchangamana.
-ana kinyaa tu akikaribiana na watu
-amejipata na anahitaji kuishi/kukaa sehemu kwa kujidai na kuchukua nafasi kubwa.
-muoga wa watu na hawezi kuchangamana na idadi fulani ya watu.
 
Nimekuja sehemu msibani, nimekaa kwenye kiti, amekuja jamaa ameweka kitu chake kinagusana kabisa na kiti changu, huku mabega yake yakikutana na yangu.

Nikakausha, sasa jamaa anapiga story anajisahau anakugusa miguuni, hii kitu ni very awkward. Nashindwa kumuelewa huyu jamaa yeye anaona kawaida au anamatatizo hanastarabika?
Ulipaswa kuchukua hatua mapema. Kuna option mbili ambazo ungefanya:
  • Kumwambia (politely) kuhusu kitendo chake cha kugusanisha viti na mabega yako kusuguana naya kwako, au
  • Kusogeza kiti chako mbali kidogo na yeye alipokaa.
Sasa, kutokana na traits zako za melancholic (Blue personality), sasa umemwachia na akaendelea kukutesa.
Pole sana!
 
Utapanga foleni kama hivi unabakishiwa
IMG_1519.jpeg
 
Nimekuja sehemu msibani, nimekaa kwenye kiti, amekuja jamaa ameweka kitu chake kinagusana kabisa na kiti changu, huku mabega yake yakikutana na yangu.

Nikakausha, sasa jamaa anapiga story anajisahau anakugusa miguuni, hii kitu ni very awkward. Nashindwa kumuelewa huyu jamaa yeye anaona kawaida au anamatatizo hanastarabika?
Gentleman,
hama, sogeza kiti au chukua kiti chako na uhame pembeni kidogo kuepusha shari.

in fact,
muheshimu anaekuheshimu asie kuheshimu usimjali🐒
 
Nimekuja sehemu msibani, nimekaa kwenye kiti, amekuja jamaa ameweka kitu chake kinagusana kabisa na kiti changu, huku mabega yake yakikutana na yangu.

Nikakausha, sasa jamaa anapiga story anajisahau anakugusa miguuni, hii kitu ni very awkward. Nashindwa kumuelewa huyu jamaa yeye anaona kawaida au anamatatizo hanastarabika?
Mim sehemu ya kazi, nimeweka maji yangu kwenye kopo nakuta yamepungua kumbe jamaa kanywa na nimgeni. Sikuwaza nikahis labda kanawa nikachota tena maji kwaajili yangu ninywe nakuta yameisha fyuu namuuliza anacheka et ni mim hapa nimekunywa.

Nimebaki najiuliz maswali kadhaa kama anafany hivi kwa mtu hatujazoeana nae itakuwaje kwa anaowamudu?

Lakini pia unaanzaje kugusa kitu kama maji, tena yapo ndan ya kopo bila kuomba ama utaratibu wowote kuufata?

Elimu na malezi ni changamoto sana juu ya watu kutambua mipka na nafasi.
 
Nimekuja sehemu msibani, nimekaa kwenye kiti, amekuja jamaa ameweka kitu chake kinagusana kabisa na kiti changu, huku mabega yake yakikutana na yangu.

Nikakausha, sasa jamaa anapiga story anajisahau anakugusa miguuni, hii kitu ni very awkward. Nashindwa kumuelewa huyu jamaa yeye anaona kawaida au anamatatizo hanastarabika?
Naona unawaza muda wa kula itakuwaje. Ndicho kinachokukera.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom