Kwanini ku-print ni bei kuliko kutoa kopi?

Kwanini ku-print ni bei kuliko kutoa kopi?

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,378
COPY.png
Mashine ni hio hio moja inayotoa copy na kuprint lakini gharama ya kuprint ni kubwa kuliko gharama ya kutoa copy.

Unakuta sehemu nyingi hasa vyuoni gharama ya kutoa kopi ni 30 hadi 50 lakini kuprint gharama ni 100 hadi 200.

KWANINI?
 
Document linakuwa lishaandaliwa, mtu akifika stationary ni kuprint tu.....Gharama ya kuprinti ukifanyiwa typing huwa inaenda hadi 1,000 kwa page 1
Una maanisha IPO kwenye flash? Basi jibu ni gharama za wino ndo mana inakuwa hivyo
 
Wanasema wino unaotumika kwenye printing huwa mwingi kuliko wa copying
 
Wanasema wino unaotumika kwenye printing huwa mwingi kuliko wa copying
Kivipi, Maana unaweza kuprint document then ukaitolea kopi hio document uliyoprint na kukawa hakuna tofauti ya wino kukolea au kufifia kati ya iliyoprintiwa na iliyorolewa kopi
 
Wafanyabiashara wengi wa stationary nahs wakariri tu ya yangu zama ambapo printer ilikuwa tofauti na photocopier yaan unaprint kwenye printer na kutoa copy kwenye photopier ambapo printer ilikuwa inaconsume wino mwingi zaidi kuuliko kutoa copy kwa kutumia mashine ya kutolea copy. Lkn kwa sasa kwa uelewa wangu hudusan hizi mashine za kisasa zinazotumia toner(wino) wa ungaunga km canon nk(mfano picha kwenye post ya mtoa mada) wino wa kutolea copy na wa kuprint nadhani ni uleule tu na cdhan km kuna haja sana ya kutofautisha bei.
 
Wanasema wino unaotumika kwenye printing huwa mwingi kuliko wa copying
sio kweli, tofauti inayofanya bei iongezeke hapo ni kama member mmoja alivyosema typing na kama ikija kwenye flash-disk basi hapo gharama ni kutumia Computer tu,

japo kuna baadhi ya Printer wino unatumika tofauti kwny copying au printing.
 
Mazoea hujenga tabia.
Printer za zamani toner zake zilikuwa expensive sana ndo maana bei ilikuwa inatofautiana na ya kutolea copy. Kwa sasa kama unatumia LaserJet (printing + photocopying) hakuna utofauti wowote maana inatumia toner moja.
 
sio kweli, tofauti inayofanya bei iongezeke hapo ni kama member mmoja alivyosema typing na kama ikija kwenye flash-disk basi hapo gharama ni kutumia Computer tu,

japo kuna baadhi ya Printer wino unatumika tofauti kwny copying au printing.
We ndo umejaribu kujibu, gharama zinaongezeka simply unatumia komputa na printer baaasi
 
Wanaofanya kazi stationary wana mambo.. unaweza kwenda kufanya binding ukaambiwa hamna umeme
 
Back
Top Bottom