D Dereva wa rais Member May 25, 2021 7 17 May 26, 2021 #1 Kama kichwa cha habari kinavyo eleza hapo juu! Hivi hiki chuo si serikali jaman? Kozi ya mwezi mmoja laki nne. Wanyonge wanasaidiwaje maana wengi hawana uwezo huo wa kumudu hzo gharama.
Kama kichwa cha habari kinavyo eleza hapo juu! Hivi hiki chuo si serikali jaman? Kozi ya mwezi mmoja laki nne. Wanyonge wanasaidiwaje maana wengi hawana uwezo huo wa kumudu hzo gharama.
Kinkunti El Perdedo JF-Expert Member Nov 28, 2020 4,493 11,044 May 26, 2021 #2 Kitendo cha kujiita mnyonge mkuu nimekudharau bure.
dudus JF-Expert Member Feb 28, 2011 22,134 49,399 May 26, 2021 #3 Nadhani ni kwa sababu ndio chuo bora kabisa cha udereva nchini kinachotambuliwa na serikali.
May Day JF-Expert Member May 18, 2018 6,162 8,820 May 26, 2021 #4 dudus said: Nadhani ni kwa sababu ndio chuo bora kabisa cha udereva nchini kinachotambuliwa na serikali. Click to expand... Mbona hujajibu hoja?.....kozi ya mwezi mmoja kulipa laki nne kwa Serikali inayojua hali ya Wanainchi wake ni sawa?
dudus said: Nadhani ni kwa sababu ndio chuo bora kabisa cha udereva nchini kinachotambuliwa na serikali. Click to expand... Mbona hujajibu hoja?.....kozi ya mwezi mmoja kulipa laki nne kwa Serikali inayojua hali ya Wanainchi wake ni sawa?
Joowzey JF-Expert Member Nov 13, 2015 13,139 13,400 May 26, 2021 #5 Kozi gan hyo laki nne,halafu kumbe unataka kuwa dereva wa rais
dudus JF-Expert Member Feb 28, 2011 22,134 49,399 May 26, 2021 #6 May Day said: Mbona hujajibu hoja?.....kozi ya mwezi mmoja kulipa laki nne kwa Serikali inayojua hali ya Wanainchi wake ni sawa? Click to expand... Kiongozi unataka hadi breakdown ya hiyo laki 4 iwekwe hapa item by item ndio.uone hoja imejibiwa? Gharama za mafuta, umeme, tuition, equipment replacement, service za magari, etc. Itoshe tu kusema gharama za uendeshaji ni kubwa.
May Day said: Mbona hujajibu hoja?.....kozi ya mwezi mmoja kulipa laki nne kwa Serikali inayojua hali ya Wanainchi wake ni sawa? Click to expand... Kiongozi unataka hadi breakdown ya hiyo laki 4 iwekwe hapa item by item ndio.uone hoja imejibiwa? Gharama za mafuta, umeme, tuition, equipment replacement, service za magari, etc. Itoshe tu kusema gharama za uendeshaji ni kubwa.
D Dereva wa rais Member May 25, 2021 7 17 May 26, 2021 Thread starter #7 Kinkunti El Perdedo said: Kitendo cha kujiita mnyonge mkuu nimekudharau bure. Click to expand... sijajiita mnyonge soma vizuri lakn pia tambua hata kama mimi na wewe sio wanyonge ila nchi hii wanyonge wapo afu ni wengi.
Kinkunti El Perdedo said: Kitendo cha kujiita mnyonge mkuu nimekudharau bure. Click to expand... sijajiita mnyonge soma vizuri lakn pia tambua hata kama mimi na wewe sio wanyonge ila nchi hii wanyonge wapo afu ni wengi.
D Dereva wa rais Member May 25, 2021 7 17 May 26, 2021 Thread starter #8 dudus said: Nadhani ni kwa sababu ndio chuo bora kabisa cha udereva nchini kinachotambuliwa na serikali. Click to expand... hata kama ni chuo bora hzo laki nne mwez mmoja ni kubwa sana watanzania weng hawana uwezo wapunguze kdogo
dudus said: Nadhani ni kwa sababu ndio chuo bora kabisa cha udereva nchini kinachotambuliwa na serikali. Click to expand... hata kama ni chuo bora hzo laki nne mwez mmoja ni kubwa sana watanzania weng hawana uwezo wapunguze kdogo
D Dereva wa rais Member May 25, 2021 7 17 May 26, 2021 Thread starter #9 May Day said: Mbona hujajibu hoja?.....kozi ya mwezi mmoja kulipa laki nne kwa Serikali inayojua hali ya Wanainchi wake ni sawa? Click to expand... sio sawa kabsa na hajajibu hoja
May Day said: Mbona hujajibu hoja?.....kozi ya mwezi mmoja kulipa laki nne kwa Serikali inayojua hali ya Wanainchi wake ni sawa? Click to expand... sio sawa kabsa na hajajibu hoja