Kwanini Kongwa kumechoka sana?

Kwanini Kongwa kumechoka sana?

Wilaya zote za mkoa Dodoma zimechoka si mpwapwa si wapi kote hovyo
 
Daah Kuna sehemu huwez amin ni tz!! Duhh hatar fayaaa

Madini, gas, mbuga za wanyama, mlima, bahar, Maziwa, mito, bandar, ndege, samaki

Hali ni mbaya ipo siku watajibu hayo
Huwezi kuanini kana spika muimba mipasho bungeni ni mwakilishi wa hilo jimbo
 
Kama akili yoote ya Andunje ni kuwathibiti wapinzani unategemea maendeleo kwenye jimbolake yatatoka wapi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareeeh sana
 
Back
Top Bottom