Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,671
- 8,237
Hans Flick alibeba makombe 6 msimu mmoja ila FIFA the Best ikaenda kwa Klopp for just winning the EPL.Kwanza kombe la FA ndio kombe la pili kwa thamani duniani baada ya world cup.
Pili klopp anatumia hela kidogo kuliko pep.
Weka hapa vigezo wanavyotumia fifa.Hans Flick alibeba makombe 6 msimu mmoja ila FIFA the Best ikaenda kwa Klopp for just winning the EPL.
.
Leo winning the EPL haitoshi kuwa factor ya kuwa kocha bora wa Michuano hio bali kocha bora ni aliyeshika nafasi ya pili?.... Serious?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nimesoma vigezo nimesikitika sanaWeka hapa vigezo wanavyotumia fifa.
Wamempa kama sentiment tu na sababu he is charismaticLeta hapa takwimu za man city na liverpool walipokutana msimu mzima katika mashindano yote ili tupate jibu la uhakika.
Muwe mnachunguza kwanza vitu mnavyodanganywa huko vijiweni, kabla hata ya kuvipost kwa ma-great thinker.Kwanza kombe la FA ndio kombe la pili kwa thamani duniani baada ya world cup.
Pili klopp anatumia hela kidogo kuliko pep.
Tena balloon d'or ndoWamempa kama sentiment tu na sababu he is charismatic
.
Ila Pep deserved more
.
Na hii sio mara ya kwanza
.
Hizi tuzo ni business projects sometimes tumeona hata some Ballon D'ors zikiamuliwa hivi
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mkuu Unatumiaje vigezo vya mashindano yote kutoa tuzo shindano moja Mjomba?Leta hapa takwimu za man city na liverpool walipokutana msimu mzima katika mashindano yote ili tupate jibu la uhakika.
Kwanza jiulize huyo kocha bora anapatikanaje,ivi inakuwaje Jürgen Klopp anapewa tuzo ya Kocha bora wa ligi kuu EPL na hajatwaa ubingwa wa EPL?
Sababu hasa ni nini?
Maana kama ni kuwa pili ina kocha bingwa amezidiwa ubora pamoja kubeba kombe? au Makombe ya FA na Carabao yanahusiana nini na michuano ya ligi ya EPL?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nafikiri hili ni jibu tosha kwa mleta mada, ukijaribu kulinganisha kazi ya kllop na pep kwa msimu Pep kaachwa mbali licha ya kwamba klopp hajabeba ligi(ambayo hata lenyewe kalikosa kwa tofauti ya piont), Head to head kati ya kllop na Pep inambeba kllop, kucheza FA bila kupoteza mchezo mpaka anachukua kombe, kufika fainal UEFA.ina semekana ktika michuano ya UEFA, EPL, FA amepoteza michezo mitatu...
FA ameshinda zote na kombe juu
EPL hajafungwa uwanja wa nyumbani kwa misimu minne kati ya mitano ukijumlisha na wa sasa ulio isha, ina semekana. pia alikuwa mbioni kulibeba hili kombe na amepoteza mechi mbili tu msimu mzima
UEFA yupo fainal sina uhakika kama ameshinda mechi zote ila kama zipo alizo poteza haizidi moja au sifuri/zero...
Nani aliyekukalilisha hadi uchukue epl ndo uwe kocha boraivi inakuwaje Jürgen Klopp anapewa tuzo ya Kocha bora wa ligi kuu EPL na hajatwaa ubingwa wa EPL?
Sababu hasa ni nini?
Maana kama ni kuwa pili ina kocha bingwa amezidiwa ubora pamoja kubeba kombe? au Makombe ya FA na Carabao yanahusiana nini na michuano ya ligi ya EPL?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hii taarifa imeiweka EPL uchi. Kwa kauli hii anastahili pep. Mimi nilidhani waneangalia mashindano yote ya ndani.
Hapa ndio gt umemaliza?Muwe mnachunguza kwanza vitu mnavyodanganywa huko vijiweni, kabla hata ya kuvipost kwa ma-great thinker.
Mnatupa kazi ya kuanza kuwarekebisha kila saa.
Sent using Jamii Forums mobile app