Kwanini kitimoto haichunwi ngozi?

Kwa sababu ngozi yake ni laini inaweza kuliwa pia uhifadhi mafuta ambayo yanatumika kukaangia ile nyama....

Ushawahi piga kongoro la kitimoto?
 
Most of white meats animals hawachunwi ngozi ni sawa na samaki na kuku. Yaan ni kwamba ngozi yao n ndogo sana ni ya kuiva tu. Hata ngombe au mbuzi ukipenda unaweza usichune ngozi. Tunachuna ngozi kuokoa mda bt ukiwa na mda wako vizur unaweza usichune ngozi kama wafanyavyo wapika supu ya miguu ya ngombe na mbuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…