Kwanini kila mtu anataka kuzikwa KINONDONI? Au ukizikwa Kinondoni maiti yako HAIOZI?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
66,071
2,000
Msiba uko Mbagala, au Gongo la Mboto, watafanya kila nia waje wazike kwenye makaburi ya kinondoni.
Je makaburi ya Kinondoni yana nini special?
Au Kinondoni ndio kuna geti la kwendea MBINGUNI? Au ukizikwa hapo mwili wako hauotooza? au ukizikwa Kinondoni siku ya ufufuo Yesu atafikia kwenye makaburi hayo?
Najiuliza na jibu sipati.
Sanasana mnatuongezea mafoleni huku mabarabarani.
Jamani, tujifunze kuokoa muda na mali, zikeni hukohuko mliko, sio lazima kila mtu azikwe KINONDONI.
 
Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,806
2,000
Mkuu Bujibuji, kwani hujui kwamba Kinondoni ndio penyewe kwa mambo ya starehe...
Mtu azikwe Gongo la Mboto, hajipendi...! Kinondoni ndio mpango mzima, mambo ya kujirusha, pombe mingi, nyama choma, Bangi tena wanaletea hapo hapo walipo na machangu kwa kwenda mbele na wengine wanamalizia starehe zao hapo hapo walipozikwa marehemu nao wanakula chabo....................LOL
 
Last edited by a moderator:

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
66,071
2,000
Mkuu Bujibuji, kwani hujui kwamba Kinondoni ndio penyewe kwa mambo ya starehe...
Mtu azikwe Gongo la Mboto, hajipendi...! Kinondoni ndio mpango mzima, mambo ya kujirusha, pombe mingi, nyama choma, Bangi tena wanaletea hapo hapo walipo na machangu kwa kwenda mbele na wengine wanamalizia starehe zao hapo hapo walipozikwa marehemu nao wanakula chabo....................LOL
Mtambuzi kweli wewe umetambua. Kumbe ukizikwa Gongo la Mboto unaweza ukajikuta unapigwa tena na bomu, duhhh
 
Last edited by a moderator:

King'asti

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
27,813
2,000
Na ukizikwa kndoni walau wanapita makahaba unajionea yanayoendelea. Sasa mbagala charambe huko inahuu? Mie nshalipia kisehemu changu na kuchagua jiwe.
 
ndetichia

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
27,789
2,000
Na ukizikwa kndoni walau wanapita makahaba unajionea yanayoendelea. Sasa mbagala charambe huko inahuu? Mie nshalipia kisehemu changu na kuchagua jiwe.

welcome to mwembe jini aka mwisho wa maringo aka makaburini aka kwa washua unazikwa na live band inakuepo chezea kino wewe..
 
King'asti

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
27,813
2,000
welcome to mwembe jini aka mwisho wa maringo aka makaburini aka kwa washua unazikwa na live band inakuepo chezea kino wewe..
hahaha, nilienda hapo naona kuna watu wamewekewa minara kama ya babeli. Wengine wamewekewa kifence cha maua na ukuta mfupi wa tiles. Nikacheka kweli. Yaani kama kuna fairness, ni kwenye kifo aisee. Hata upendweje, one day yes lazma ulale chali!
 
King'asti

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
27,813
2,000
Whapi na wapi, c kabila yetu hatuziki ila tunachoma moto shambani majivu yanakuwa mbolea

i hope hamkufi sana. Manake mnaharibu ecosystem nyie, more acidity kwenye udongo. Mngezika bila jeneza kama waislamu hapo mwake, mnaongezea mboji.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom