Kwanini kila mtu anataka kuzikwa KINONDONI? Au ukizikwa Kinondoni maiti yako HAIOZI?

Hakuna maiti nikuchomwa moto ili roho ipate usafiri wa moshi kwenda mbinguni kuliko kuizika chini i ozee humo
i hope hamkufi sana. Manake mnaharibu ecosystem nyie, more acidity kwenye udongo. Mngezika bila jeneza kama waislamu hapo mwake, mnaongezea mboji.
 
Watanzania tuna upofu wa macho ya rohoni.
Tunapenda sifa na kujionyesha.
Tunachanga hela nyingi sana mtu akifa lakini wakati akiumwa tulikataa kumchangia shilingi mia tano ya Asprin.
Watanzania ndio maana tuko kama tumelaanika.
 
Last edited by a moderator:
Afu naskia panaelekea kujaa pale,acha nifanye mpango wa kufa nipate chance kabla hapajajaa,kwenda kuzikwa kinyerezi sio mpango kabisa
 
Watanzania tuna upofu wa macho ya rohoni.
Tunapenda sifa na kujionyesha.
Tunachanga hela nyingi sana mtu akifa lakini wakati akiumwa tulikataa kumchangia shilingi mia tano ya Asprin.
Watanzania ndio maana tuko kama tumelaanika.

mia tano ya nani??
 
Mia tano yangu?

Oh mamma!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom