Kwanini kila kitu ni namba 7 katika uumbaji wa Mungu?

Si kila kitu. Na umetizama upande mmoja tu uliopo. Hujaanalia kwa jirani. Umesahau mke mmoja, sio saba. Wake wanne na sio Saba Siku ya kwanza ya juma na si siku ya saba. Mitume 12 na si saba. Kufufuka siku ya tatu na si saba. Ulichofanya wewe umechambua vile vyenye siku saba tu
Pamoja na hizo lakini hii siku ya 7 ni maalumu mno maana kati ya siku zote Saba siku ya 7 ya juma ni siku pekee iliyobarikiwa na kutakaswa na pekee Mungu aloitaka tuikumbuke kutoka 20:8
 
halafu baada ya hapo watueleweshe pia kwanini shetani nae anahusishwa sana na namba 6?
Namba 6 ni upungufu ndio maana kuna mhuri wa mnyama wenye namba 666 na watakaopigwa huo mhuri hawataenda mbinguni maana watakuwa kwa kukosa utii wameikataa amri ya Mungu na kushika amri za wanadamu hivyo wamepungua ila mhuri wa Mungu ni 777 ikiwakilisha utimilifu ambao huambatana na siku ya 7 aliyopumzika Mungu akaibariki na kuitakasa
 
matundu saba
1: mdomo
2: pua ( matundu mawili)
3: masikii ( matundu mawili)
4: nyeti ( mawili)
 
And today we have "seventh day Adventist Church" a most perfect one
Na pia wapo wanaosema "The number seven was said to be 'perfect' because it contained the numbers 3 and 4 — 3 and 4, the triangle and the square, the perfect figures — and was itself indivisible and could not be created by multiplication. "
 
Namba 6 ni upungufu ndio maana kuna mhuri wa mnyama wenye namba 666 na watakaopigwa huo mhuri hawataenda mbinguni maana watakuwa kwa kukosa utii wameikataa amri ya Mungu na kushika amri za wanadamu hivyo wamepungua ila mhuri wa Mungu ni 777 ikiwakilisha utimilifu ambao huambatana na siku ya 7 aliyopumzika Mungu akaibariki na kuitakasa
mhhh
 
oya hapo kwny matundu 7 kwa binadamu mbna nahesabu nakuta yapo sita, tundu lipi nimelisahau.
 
Back
Top Bottom