Kwanini kila dhuluma dhidi ya watanganyika inasimamiwa na watawala wageni?

Hamatan

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2020
Posts
6,512
Reaction score
15,098
Tanganyika na Zanzibar zilungana nusu, na kutengeneza Tanzania. Ni muungano nusu kwa sababu Zanzibar iligoma kuingia kwenye muungano kamili, iliendelea kuwa na Serikali yake, na inajitambulisha kama ni nchi, na tena yenye mipaka yake.

Hoja muhimu hapa, ni kwa nini kila dhuluma kubwa dhidi ya Tanganyika, wakati wote imefanyika kwa kusimamiwa na viongozi wazanzibari? Je, Tanganyia, ni kubwa jinga? Kwa nini hata wanaCCM watanganyika hawaumizwi na dhuluma dhidi ya Tanganyika?

Baadhi ya Dhuluma kubwa kabisa dhidi ya Tanganyika:

1. Uporwaji wa bandari za Tanganyika ulifanyika wakati Rais ni mzanzibari, waziri prof. Mbarawa ni mzanzibari, mwanasheria wa wizara Johari ni mzanzibari, katibu mkuu na mkurugenzi wa bandari, wote walikuwa wazanzibari. Na ikumbukwe kuwa wizara hiyo siyo ya muungano! Na uporwaji huo ulihusisha bandari za Tanganyika pekee. Kama lilikuwa ni jambo la heri, kwa kuwa wahusika wote walikuwa ni wazanzibari, kwa nini bandari za Zanzibar hazikuwa za mwanzo kupewa DPW? Uunaamini kuwa Wazanzibari walikuwa wanaipenda sana Tanganyika kuliko Zanzibar yao?

2. Uporwaji wa mbuga za wanyama na hifadhi za misitu, na kisha kugawiwa waarabu, ulifanyika wakati wa utawala wa Mwinyi (mzanzibari) na wakati wa Rais Samia (mzanzibari), Mchengerwa akiwa waziri wa utalii. Wakati wa utawala wa Nyerere, Mkapa na Kikwete, hakuna mbuga ya wanyawa wala hifadhi ya msitu aliwahi kupewa mgeni.

3. Uporwaji wa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Arusha, na kisha kugawiwa waarabu umefanyika wakati wa utawala wa Samia. Sijasikia kama uwanja wa ndege Zanzibar wamepewa waarabu.

4. Mradi wa mwendokasi umeporwa na kupewa wageni wakati wa utawala wa Samia.

5. Wakati wa utawala wa Samia, ndipo tumeshuhudia wazanzibari wengi zaidi kuliko wakati wowote, wakipewa nafasi za uongozi ndani ya Tanganyika, tena kwenye zile nafasi zisizo za muungano. Wazanzibari wameteuliwa kuwa wakuu wa wilaya Tanganyika, wakati mtanganyika hawezi kuwa hata sheha huko Zanzibar.

6. Ni wakati wa utawala wa Samia, wazanzibari na waarabu wengi wamechukua maeneo makubwa ya ardhi Tanganyika, wakati watanganyika wananyimwa haki ya kumiliki hata robo eka ya ardhi Zanzibar.

NB: Tunasema huu ni uporaji wa rasilimali za Tanganyika kwa sababu hao wanaoitwa wawekezaji hawawekezi chochote cha maana. Bandari tumejenga wenyewe. DPW hawajajenga bandari yoyote. Uwanja wa ndege tumejenga wenyewe, hakuna mwarabu aliyejenga uwanja wa ndege Tanganyika. Mbuga za wanyama na misitu ametuumbia Mungu, hao wawekezaji toka Uarabuni hawajaleta hata fisi au mbweha. Barabara ya mwendokasi tumejenga wenyewe. Sasa tunawaita wawekezaji, wamewekeza nini? Hawa ni wavunaji, siyo wawekezaji.

7. Imefikia kiwango sasa, jaji mzanzibari anawaondolea watanganyika haki za kidemokrasia kwa kuzuia chama cha upinzani kufanya shughuli za siasa, lengo kwa vyovyote ni kutaka Wazanzibari waendelee kufaidika kwa kuitumia Tanganyika. Hili siyo sahihi, na siyo haki hata kidogo.

Je, kwa mazingira haya, kuna mtu yeyote anaweza kueleza kwa uwazi Zanzibar inainufaisha vipi Tanganyika katika huu muungano?

Tunahitaji sana mabadiliko kwenye muundo wa Muungano huu wa hasara. Maadamu Zanzibar imegoma kuingia kwenye Muungano kiukamilifu, basi tubakie na mahusiano kwenye maeneo fulani tu, na wazanzibari wasiwe na haki yoyote kwenye mambo yale ya Tanganyika yasiyo ya muungani. Mzanzibari anayetaka kumiliki ardhi ya Tanganyika, kwanza aukane uraia wa Zanzibar. Mzanzibari anayetaka kufanya kazi kwenye mamlaka za Serikali Tanganyika zisizo za Muungano, kwanza aukane uraia wa Zanzibar.

Fikiria, Serikali ya Zanzibar ina mwanasheria wake mkuu. Hivyo anayeitwa mwanasheria mkuu wa serikali, kiuhalisia ni mwanasheria mkuu wa Tanganyika, halafu mwanasheria huyo ni mzanzibari! Hivi Tanganyika imekosa watu kiasi cha kumtumia expatriate kuwa mwanasheria mkuu wake?

Tusikubali wageni waibeze Tanganyika. Watanganyika tuwe na uzalendo kwa Tanganyika yetu kama wazanzibari walivyo na uzalendo kwa Zanzibar yao.
 
Jitahidi huko Upwayunguni hali ni mbaya Tanganyika.
 
kosa hili lingerekebishika uchaguzi wa October lakini kwa vile sisi watanganyika tumerogwa ndio tunaosema mitano kwa mama.Inasikitisha kwa kweli.Matanganyika kama Lucas Habel na yule Tlaatlaah hawafai kabisa
 
Shida kubwa ni Watanganyika hatuna uchungu na Nchi yetu, kazi kuendekeza Uchawa tu!!

Kwa mweli inashangaza sana. Watanganyika ni walafi na wabinafsi sana. Ona wazanzibari wanavyowatumia watanganyika kuiangamiza na kuipora Tanganyika. Fikiria watu kama akina Mwiglu, kwake Tanganyika hata ikiangamia, alimradi yeye amepewa uhuru wa kuiba atakavyo, anaona ni sawa.
 
kosa hili lingerekebishika uchaguzi wa October lakini kwa vile sisi watanganyika tumerogwa ndio tunaosema mitano kwa mama.Inasikitisha kwa kweli.Matanganyika kama Lucas Habel na yule Tlaatlaah hawafai kabisa

Kwa sasa watanganyika ilitakiwa tuweke ushabiki wa vyama pembeni, tuanganishwe na utanganyika wetu, tupambane kujikomboa kitoka kwa waporaji wa rasilimali zetu, lakini kuna mijitu sijui imepeleka akili zao wapi? Fikiria watanganyika kama Mwashambwa au Tlaatlaah, kutupiwa tu vielefu kumi kumi, wanaisaliti Tanganyika yao!! Je wakipewa hata UDC tu, si wanaweza kukabidhiwa hata mapanga wakawaue watanganyika wenzao, na wataridhia?
 
Kwa kweli hali ni mbaya sana, ni kwa vile tu unafiki wa baadhi ya watanganyika umefifisha akili zao, wanaona mambo yapo kawaida.
Umeona ukiangalia maisha ni magumu mtaani ni vile Watanganyika 😢 hamjielewi
 
Tanganyika na Zanzibar zilungana nusu, na kutengeneza Tanzania. Ni muungano nusu kwa sababu Zanzibar iligoma kuingia kwenye muungano kamili, iliendelea kuwa na Serikali yake, na inajitambulisha kama ni nchi, na tena yenye mipaka yake.

Hoja muhimu hapa, ni kwa nini kila dhuluma kubwa dhidi ya Tanganyika, wakati wote imefanyika kwa kusimamiwa na viongozi wazanzibari? Je, Tanganyia, ni kubwa jinga? Kwa nini hata wanaCCM watanganyika hawaumizwi na dhuluma dhidi ya Tanganyika?

Baadhi ya Dhuluma kubwa kabisa dhidi ya Tanganyika:

1. Uporwaji wa bandari za Tanganyika ulifanyika wakati Rais ni mzanzibari, waziri prof. Mbarawa ni mzanzibari, mwanasheria wa wizara Johari ni mzanzibari, katibu mkuu na mkurugenzi wa bandari, wote walikuwa wazanzibari. Na ikumbukwe kuwa wizara hiyo siyo ya muungano! Na uporwaji huo ulihusisha bandari za Tanganyika pekee. Kama lilikuwa ni jambo la heri, kwa kuwa wahusika wote walikuwa ni wazanzibari, kwa nini bandari za Zanzibar hazikuwa za mwanzo kupewa DPW? Uunaamini kuwa Wazanzibari walikuwa wanaipenda sana Tanganyika kuliko Zanzibar yao?

2. Uporwaji wa mbuga za wanyama na hifadhi za misitu, na kisha kugawiwa waarabu, ulifanyika wakati wa utawala wa Mwinyi (mzanzibari) na wakati wa Rais Samia (mzanzibari), Mchengerwa akiwa waziri wa utalii. Wakati wa utawala wa Nyerere, Mkapa na Kikwete, hakuna mbuga ya wanyawa wala hifadhi ya msitu aliwahi kupewa mgeni.

3. Uporwaji wa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Arusha, na kisha kugawiwa waarabu umefanyika wakati wa utawala wa Samia. Sijasikia kama uwanja wa ndege Zanzibar wamepewa waarabu.

4. Mradi wa mwendokasi umeporwa na kupewa wageni wakati wa utawala wa Samia.

5. Wakati wa utawala wa Samia, ndipo tumeshuhudia wazanzibari wengi zaidi kuliko wakati wowote, wakipewa nafasi za uongozi ndani ya Tanganyika, tena kwenye zile nafasi zisizo za muungano. Wazanzibari wameteuliwa kuwa wakuu wa wilaya Tanganyika, wakati mtanganyika hawezi kuwa hata sheha huko Zanzibar.

6. Ni wakati wa utawala wa Samia, wazanzibari na waarabu wengi wamechukua maeneo makubwa ya ardhi Tanganyika, wakati watanganyika wananyimwa haki ya kumiliki hata robo eka ya ardhi Zanzibar.

NB: Tunasema huu ni uporaji wa rasilimali za Tanganyika kwa sababu hao wanaoitwa wawekezaji hawawekezi chochote cha maana. Bandari tumejenga wenyewe. DPW hawajajenga bandari yoyote. Uwanja wa ndege tumejenga wenyewe, hakuna mwarabu aliyejenga uwanja wa ndege Tanganyika. Mbuga za wanyama na misitu ametuumbia Mungu, hao wawekezaji toka Uarabuni hawajaleta hata fisi au mbweha. Barabara ya mwendokasi tumejenga wenyewe. Sasa tunawaita wawekezaji, wamewekeza nini? Hawa ni wavunaji, siyo wawekezaji.

7. Imefikia kiwango sasa, jaji mzanzibari anawaondolea watanganyika haki za kidemokrasia kwa kuzuia chama cha upinzani kufanya shughuli za siasa, lengo kwa vyovyote ni kutaka Wazanzibari waendelee kufaidika kwa kuitumia Tanganyika. Hili siyo sahihi, na siyo haki hata kidogo.

Je, kwa mazingira haya, kuna mtu yeyote anaweza kueleza kwa uwazi Zanzibar inainufaisha vipi Tanganyika katika huu muungano?

Tunahitaji sana mabadiliko kwenye muundo wa Muungano huu wa hasara. Maadamu Zanzibar imegoma kuingia kwenye Muungano kiukamilifu, basi tubakie na mahusiano kwenye maeneo fulani tu, na wazanzibari wasiwe na haki yoyote kwenye mambo yale ya Tanganyika yasiyo ya muungani. Mzanzibari anayetaka kumiliki ardhi ya Tanganyika, kwanza aukane uraia wa Zanzibar. Mzanzibari anayetaka kufanya kazi kwenye mamlaka za Serikali Tanganyika zisizo za Muungano, kwanza aukane uraia wa Zanzibar.

Fikiria, Serikali ya Zanzibar ina mwanasheria wake mkuu. Hivyo anayeitwa mwanasheria mkuu wa serikali, kiuhalisia ni mwanasheria mkuu wa Tanganyika, halafu mwanasheria huyo ni mzanzibari! Hivi Tanganyika imekosa watu kiasi cha kumtumia expatriate kuwa mwanasheria mkuu wake?

Tusikubali wageni waibeze Tanganyika. Watanganyika tuwe na uzalendo kwa Tanganyika yetu kama wazanzibari walivyo na uzalendo kwa Zanzibar yao.
Umeandika point za muhimu sana, na ndio maana tunasema no reform no election, katiba yetu tuibadilishe wazanzibari wasiwe na mamlaka ya kupata nyadhifa za juu za serikali hapa bara

Ila chawa watakuja hapa kuhara matusi maana huwa hawatumii akili kufikiria
 
Machawa, huwa wanapiga kelele, hawajibu hoja. Hoja ya msinhi waeleze, ni kwa namna gani, Zanzibar imewanufaisha watanganyika kwenye muumgano huu? Wazanzibari wao kupitia huu muungano wameweza kupora rasilimali nyingi za Tanganyika, wameweza kupata ajira nyingi Tanganyika, wameweza kupora pesa ya Tanganyika kupitia mikopo ambayo yote inalipwa na watanganyika.

Kwa hali ilivyo, ilistahili kuainisha mambo machache tu ya ushirikiano kati ya Tanganyika na Zanzibar, kuliko huu upuuzi wa sasa ambapo wazanzibari wanafanyia udalali rasilimali za Tanganyika, na kuchukua madaraka ya kupora na kugandamiza haki za msingi za Tanganyika.
 
Tanganyika na Zanzibar zilungana nusu, na kutengeneza Tanzania. Ni muungano nusu kwa sababu Zanzibar iligoma kuingia kwenye muungano kamili, iliendelea kuwa na Serikali yake, na inajitambulisha kama ni nchi, na tena yenye mipaka yake.

Hoja muhimu hapa, ni kwa nini kila dhuluma kubwa dhidi ya Tanganyika, wakati wote imefanyika kwa kusimamiwa na viongozi wazanzibari? Je, Tanganyia, ni kubwa jinga? Kwa nini hata wanaCCM watanganyika hawaumizwi na dhuluma dhidi ya Tanganyika?

Baadhi ya Dhuluma kubwa kabisa dhidi ya Tanganyika:

1. Uporwaji wa bandari za Tanganyika ulifanyika wakati Rais ni mzanzibari, waziri prof. Mbarawa ni mzanzibari, mwanasheria wa wizara Johari ni mzanzibari, katibu mkuu na mkurugenzi wa bandari, wote walikuwa wazanzibari. Na ikumbukwe kuwa wizara hiyo siyo ya muungano! Na uporwaji huo ulihusisha bandari za Tanganyika pekee. Kama lilikuwa ni jambo la heri, kwa kuwa wahusika wote walikuwa ni wazanzibari, kwa nini bandari za Zanzibar hazikuwa za mwanzo kupewa DPW? Uunaamini kuwa Wazanzibari walikuwa wanaipenda sana Tanganyika kuliko Zanzibar yao?

2. Uporwaji wa mbuga za wanyama na hifadhi za misitu, na kisha kugawiwa waarabu, ulifanyika wakati wa utawala wa Mwinyi (mzanzibari) na wakati wa Rais Samia (mzanzibari), Mchengerwa akiwa waziri wa utalii. Wakati wa utawala wa Nyerere, Mkapa na Kikwete, hakuna mbuga ya wanyawa wala hifadhi ya msitu aliwahi kupewa mgeni.

3. Uporwaji wa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Arusha, na kisha kugawiwa waarabu umefanyika wakati wa utawala wa Samia. Sijasikia kama uwanja wa ndege Zanzibar wamepewa waarabu.

4. Mradi wa mwendokasi umeporwa na kupewa wageni wakati wa utawala wa Samia.

5. Wakati wa utawala wa Samia, ndipo tumeshuhudia wazanzibari wengi zaidi kuliko wakati wowote, wakipewa nafasi za uongozi ndani ya Tanganyika, tena kwenye zile nafasi zisizo za muungano. Wazanzibari wameteuliwa kuwa wakuu wa wilaya Tanganyika, wakati mtanganyika hawezi kuwa hata sheha huko Zanzibar.

6. Ni wakati wa utawala wa Samia, wazanzibari na waarabu wengi wamechukua maeneo makubwa ya ardhi Tanganyika, wakati watanganyika wananyimwa haki ya kumiliki hata robo eka ya ardhi Zanzibar.

NB: Tunasema huu ni uporaji wa rasilimali za Tanganyika kwa sababu hao wanaoitwa wawekezaji hawawekezi chochote cha maana. Bandari tumejenga wenyewe. DPW hawajajenga bandari yoyote. Uwanja wa ndege tumejenga wenyewe, hakuna mwarabu aliyejenga uwanja wa ndege Tanganyika. Mbuga za wanyama na misitu ametuumbia Mungu, hao wawekezaji toka Uarabuni hawajaleta hata fisi au mbweha. Barabara ya mwendokasi tumejenga wenyewe. Sasa tunawaita wawekezaji, wamewekeza nini? Hawa ni wavunaji, siyo wawekezaji.

7. Imefikia kiwango sasa, jaji mzanzibari anawaondolea watanganyika haki za kidemokrasia kwa kuzuia chama cha upinzani kufanya shughuli za siasa, lengo kwa vyovyote ni kutaka Wazanzibari waendelee kufaidika kwa kuitumia Tanganyika. Hili siyo sahihi, na siyo haki hata kidogo.

Je, kwa mazingira haya, kuna mtu yeyote anaweza kueleza kwa uwazi Zanzibar inainufaisha vipi Tanganyika katika huu muungano?

Tunahitaji sana mabadiliko kwenye muundo wa Muungano huu wa hasara. Maadamu Zanzibar imegoma kuingia kwenye Muungano kiukamilifu, basi tubakie na mahusiano kwenye maeneo fulani tu, na wazanzibari wasiwe na haki yoyote kwenye mambo yale ya Tanganyika yasiyo ya muungani. Mzanzibari anayetaka kumiliki ardhi ya Tanganyika, kwanza aukane uraia wa Zanzibar. Mzanzibari anayetaka kufanya kazi kwenye mamlaka za Serikali Tanganyika zisizo za Muungano, kwanza aukane uraia wa Zanzibar.

Fikiria, Serikali ya Zanzibar ina mwanasheria wake mkuu. Hivyo anayeitwa mwanasheria mkuu wa serikali, kiuhalisia ni mwanasheria mkuu wa Tanganyika, halafu mwanasheria huyo ni mzanzibari! Hivi Tanganyika imekosa watu kiasi cha kumtumia expatriate kuwa mwanasheria mkuu wake?

Tusikubali wageni waibeze Tanganyika. Watanganyika tuwe na uzalendo kwa Tanganyika yetu kama wazanzibari walivyo na uzalendo kwa Zanzibar yao.
Ulivyoandika wameungana nusu sikuataka kuendelea kusoma uchafu mwingine, nimegundua ni yaleyale mazombie
 
We mbwa koko ni wale sukuma gang, mmeshadhibitiwa hamuwezi ht kukohoa majinga nyie
 
Uchafu, muungano ni tunu ya Taifa we mbaguzi kafie huko ukitoka kwenye ubaguzi utakuja kwenye ukanda na baadaye ukabila. We ni sawa na mbwa mla nyama ya binadamu
 
Hatuutaki huu Muungano
wa kiunyonyaji
Natamani atokee mtu aweze kuuvunja
ili kila mtu afanye ya nchi yake sasa.
Zanzibar hakuna hata waziri kutoka Bara wakati huku Bara wao wamejazana Bungeni.
 
Uchafu, muungano ni tunu ya Taifa we mbaguzi kafie huko ukitoka kwenye ubaguzi utakuja kwenye ukanda na baadaye ukabila. We ni sawa na mbwa mla nyama ya binadamu

Wewe ni chawa? Maana chawa siku zote huwa ni watu wasio na akili, ndiyo maana huwa wanaropoka, lakini hawajibu wala kuchangia hoja. Wao wakishakaririshwa hubakia wanaimba tu walichokaririshwa.

Kama ni mtu mwenye akili timamu, orodhesha faida ambazo watanganyika wamenufaishwa na Zanzibar. Nimeorodhesha hasara ambazo Tanganyika imepata na inaendelea kupata, wewe weka faida walizozipata watanganyika.
 
We mbwa koko ni wale sukuma gang, mmeshadhibitiwa hamuwezi ht kukohoa majinga nyie

Ulivyoandika tu, unadhihirisha kwa kila mwenye akili, wewe ni hayawani punguani, usiyejitambua kwa lolote, na usiye na faida kwa yeyote.

Kama ni mtu mwenye akili timamu, orodhesha faida ambazo watanganyika wamenufaishwa na Zanzibar. Nimeorodhesha hasara ambazo Tanganyika imepata na inaendelea kupata, wewe weka faida walizozipata watanganyika.
 
Uchafu, muungano ni tunu ya Taifa we mbaguzi kafie huko ukitoka kwenye ubaguzi utakuja kwenye ukanda na baadaye ukabila. We ni sawa na mbwa mla nyama ya binadamu

Yawezekana, hata maana ya tunu, huelewi!
 
Back
Top Bottom