Kwanini Kikwete hawi addressed Kama Professor?

DATAZ

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2012
Posts
4,712
Reaction score
11,988
Tarehe 23.10.2014 Mheshimiwa Raisi Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete alitunukiwa shahada ya heshma ya Uprofesa na Chuo kikuu Cha kilimo China.

Huyu anastahili kuwa addressed Kama Professor Jakaya Kikwete na sio Doctor Jakaya Kikwete. Au nakosea?

Screenshot_20240604-200320.jpg
 
Tarehe 23.10.2014 Mheshimiwa Raisi Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete alitunukiwa shahada ya heshma ya Uprofesa na Chuo kikuu Cha kilimo China.

Huyu anastahili kuwa addressed Kama Professor Jakaya Kikwete na sio Doctor Jakaya Kikwete. Au nakosea?
View attachment 3008495
Acha utoto, hivi kuna shahada ya uprofesor dunia hii?
 
Tarehe 23.10.2014 Mheshimiwa Raisi Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete alitunukiwa shahada ya heshma ya Uprofesa na Chuo kikuu Cha kilimo China.

Huyu anastahili kuwa addressed Kama Professor Jakaya Kikwete na sio Doctor Jakaya Kikwete. Au nakosea?
View attachment 3008495
PhD ya heshima hauanzi na Dr kwa mujibu wa utaratibu.
Mfano
Mr.Maharagwe Chai, PhD(Hon.causa) na si, Dr. Maharagwe Chai.

Hilo la uprofesa wa Heshima sina uelewa nalo wajuvi watatujuza.
 
Sasa mbona wanamuita Dr Samia!!!
 
Professor hutumika mahusi kwa walimu tu, na wala sio shahada.
 
Tarehe 23.10.2014 Mheshimiwa Raisi Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete alitunukiwa shahada ya heshma ya Uprofesa na Chuo kikuu Cha kilimo China.

Huyu anastahili kuwa addressed Kama Professor Jakaya Kikwete na sio Doctor Jakaya Kikwete. Au nakosea?
View attachment 3008495
Ukute hata hujui maana ya Professor!!
 
Waafrika tupo addicted Sana na hizi formel education
 
Umenikumbusha Profesa Mashindwele bin Mashindwanga kutoka Sumbawanga, alikuja kutuonyesha mazingaombwe shuleni kwetu wakati tuko shule ya msingi. Naona wako kundi moja la maprofesa na Kikwete.
 
Tarehe 23.10.2014 Mheshimiwa Raisi Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete alitunukiwa shahada ya heshma ya Uprofesa na Chuo kikuu Cha kilimo China.

Huyu anastahili kuwa addressed Kama Professor Jakaya Kikwete na sio Doctor Jakaya Kikwete. Au nakosea?

Kmmkee...
 
PhD ya heshima hauanzi na Dr kwa mujibu wa utaratibu.
Mfano
Mr.Maharagwe Chai, PhD(Hon.causa) na si, Dr. Maharagwe Chai.

Hilo la uprofesa wa Heshima sina uelewa nalo wajuvi watatujuza.
Hakuna uprofesa wa heshima duniani. Hiyo walimbambikiza mzee wetu kwa kujua ushamba wetu tu.

Katika ngazi za professor unaweza kukutana na wa aina hii: Associate Professor, Adjunct Professor, Visiting Professor, Research Professor, Professor of Practice, na Emeritus Professor lakini siyo Honorary Professor
 
Sasa mbona wanamuita Dr Samia!!!
Hizo Dokta akiondoka madarakani hutosikia wakimuita Dokta, watamuita kwa Jina lake tu km lilivyo yaan udaktari wa UONGO unaishia akimaliza urais, hao wanamuita Dokta Dokta wanatetea Ugali wao tu
 
Alikua addressed kama Profesa zile ziku za mwanzoni mwanzoni baadae naona chawa wake waliamua kuachana na neno profesa wakaamua kukomaa na dokta.
 
Back
Top Bottom