Kwanini Kikwete hawi addressed Kama Professor?

PhD ya heshima hauanzi na Dr kwa mujibu wa utaratibu.
Mfano
Mr.Maharagwe Chai, PhD(Hon.causa) na si, Dr. Maharagwe Chai.

Hilo la uprofesa wa Heshima sina uelewa nalo wajuvi watatujuza.
Sasa huyu wetu mwenye tano za heshima mbona anaanza na Dr na hiyo Hon causa haweki kabisa
 
PhD ya heshima hauanzi na Dr kwa mujibu wa utaratibu.
Mfano
Mr.Maharagwe Chai, PhD(Hon.causa) na si, Dr. Maharagwe Chai.

Hilo la uprofesa wa Heshima sina uelewa nalo wajuvi watatujuza.
huo uprofesa wa heshima haupo hiyo ni dharau tu ya hao waliompa, afadhari naye kastuka.
 
Back
Top Bottom