mmeshaanza kama kawaida yenu, JK akizuru miradi mnasema hatulii ofisini asipokwenda ohoo ana jambo mbona hamueleweki? Fitina hizo hazitawasaidia chochote hapo lengo lenu ni kumgombanisha Dr Mwakyembe na JK eti JK hajapendezwa na ubunifu wa Dr Mwakyembe!JK ni mwepesi sana kutembelea maeneo au matukio mbalimbali ya kimaendeleo yanayohusisha utendaji wa serikali yake i.e utekelezaji wa ilani ya chama chake, nashangazwa na ukimya wake kuhusu treni ya Mwakyembe Dar je hajapendendezwa na ubunifu huo wa waziri wake Mwakyembe?
NAWASILISHA
Jibu ni moja tu, Mwakyembe sio chaguo la Jk, hata Mwakyembe afanye nin Jk hawez kumpongeza ama kuupongeza mpangu aliousimamia..!!
WIVU period!! Bwana misifa anapenda kila kitu kianzie kwake au akabithiwe yeye!! M'kyembe hana kutoa misifa kama Makufuli!!JK ni mwepesi sana kutembelea maeneo au matukio mbalimbali ya kimaendeleo yanayohusisha utendaji wa serikali yake i.e utekelezaji wa ilani ya chama chake, nashangazwa na ukimya wake kuhusu treni ya Mwakyembe Dar je hajapendendezwa na ubunifu huo wa waziri wake Mwakyembe?
NAWASILISHA
Ingekuwa USA duhh!!JK ni mwepesi sana kutembelea maeneo au matukio mbalimbali ya kimaendeleo yanayohusisha utendaji wa serikali yake i.e utekelezaji wa ilani ya chama chake, nashangazwa na ukimya wake kuhusu treni ya Mwakyembe Dar je hajapendendezwa na ubunifu huo wa waziri wake Mwakyembe?
NAWASILISHA
JK ni mwepesi sana kutembelea maeneo au matukio mbalimbali ya kimaendeleo yanayohusisha utendaji wa serikali yake i.e utekelezaji wa ilani ya chama chake, nashangazwa na ukimya wake kuhusu treni ya Mwakyembe Dar je hajapendendezwa na ubunifu huo wa waziri wake Mwakyembe?
NAWASILISHA
kwa kweli mkuu nimeipenda comment yako. you made my day.Hakuna international per diem hapo
kwani kwenye barabara alikuwa anazindua saburi lenu?watu bwn wanacho kiwaza ndicho wanacho kiongea bila kufikiria Jk atazindua nin kama ripot aliyopelekewa inasema mrad up
Jibu ni moja tu, Mwakyembe sio chaguo la Jk, hata Mwakyembe afanye nin Jk hawez kumpongeza ama kuupongeza mpangu aliousimamia..!!