Kwanini Kikwete hatembelei mradi wa treni ya Mwakyembe Dar?

thatha

JF-Expert Member
Apr 29, 2011
15,340
1,566
JK ni mwepesi sana kutembelea maeneo au matukio mbalimbali ya kimaendeleo yanayohusisha utendaji wa serikali yake i.e utekelezaji wa ilani ya chama chake, nashangazwa na ukimya wake kuhusu treni ya Mwakyembe Dar je hajapendendezwa na ubunifu huo wa waziri wake Mwakyembe?

NAWASILISHA
 
Mwakyembe na Samweli sitta lao moja, na hawapo kwenye chaguo la uraisi la kikwete
akimtembelea atakuwa ana mbusti kuelekea uraisi, wakati walishamuandaa mtu wao wa uraisi 2015.
 
JK ni mwepesi sana kutembelea maeneo au matukio mbalimbali ya kimaendeleo yanayohusisha utendaji wa serikali yake i.e utekelezaji wa ilani ya chama chake, nashangazwa na ukimya wake kuhusu treni ya Mwakyembe Dar je hajapendendezwa na ubunifu huo wa waziri wake Mwakyembe?

NAWASILISHA
mmeshaanza kama kawaida yenu, JK akizuru miradi mnasema hatulii ofisini asipokwenda ohoo ana jambo mbona hamueleweki? Fitina hizo hazitawasaidia chochote hapo lengo lenu ni kumgombanisha Dr Mwakyembe na JK eti JK hajapendezwa na ubunifu wa Dr Mwakyembe!

Mkakati wa kupunguza na hatimaye kuondoa kabisa msongamano wa magari jijini Dsm ni wa serikali nzima ndiyo maana unaona jiji zima vumbi linatimka kuanzia kimara- magomeni- morocco- kivukoni ni matengenezo ya barabara ya mabasi yaendayo kasi. Usafiri wa treni jijini Dar es salaam ni sehemu tu ya mkakati huo. Acheni fitina jamani, Dr Mwakyembe chapa kazi wapuuze wachimvi hao!!!
 
ni mradi mdogo, ulioandaliwa kienyeji, hivyo si sahihi rais kutembelea mradi mdogo kiasi hicho. tusubiri mpango mzima kama ulivyoainishwa na Mh , Mnyika wa kuanzisha na kuboresha usafiri huo wa train, mara tu serikali itakapojenga uwezo utamuona jembe JK akijitokeza na kuzindua mradi huo mkubwa.
 
Jibu ni moja tu, Mwakyembe sio chaguo la Jk, hata Mwakyembe afanye nin Jk hawez kumpongeza ama kuupongeza mpangu aliousimamia..!!
 
Kwa ni nani alimteua Dr. Mwakyembe kwa Waziri ? Hatahivyo, ni mapema mno kutoa uamuzi kuwa Rais hajautemblea mradi huo. Upatie muda kwanza huo mradi uchanue, maana kama uko kwnye majaribio vile. Atatembelea miradi mingapi ?
 
Mambo yake ni kama haya

m3.jpg
 
JK ni mwepesi sana kutembelea maeneo au matukio mbalimbali ya kimaendeleo yanayohusisha utendaji wa serikali yake i.e utekelezaji wa ilani ya chama chake, nashangazwa na ukimya wake kuhusu treni ya Mwakyembe Dar je hajapendendezwa na ubunifu huo wa waziri wake Mwakyembe?

NAWASILISHA
WIVU period!! Bwana misifa anapenda kila kitu kianzie kwake au akabithiwe yeye!! M'kyembe hana kutoa misifa kama Makufuli!!
 
JK ni mwepesi sana kutembelea maeneo au matukio mbalimbali ya kimaendeleo yanayohusisha utendaji wa serikali yake i.e utekelezaji wa ilani ya chama chake, nashangazwa na ukimya wake kuhusu treni ya Mwakyembe Dar je hajapendendezwa na ubunifu huo wa waziri wake Mwakyembe?

NAWASILISHA
Ingekuwa USA duhh!!
 
kwanza nikurekebishe, inavyoelekea wewe upo kuzimu kwani haya mambo yapo kwenye vyombo vya habari siku nyingi. huo ubunifu hajauanzisha mwakyembe, sema aliukuta ukendelea labda useme kaupeleka kwa kasi japo huwezi thibitisha hilo. pili si kila kitu kinachofanyika lazima JK aende, kuna miradi mingi tu inaendelea na hajaenda yeye ila wawakilishi wake akiwemo mwakyembe. lakini pia ndo kwanza mradi upo kwenye majaribio tohauti na kufungua barabara iliyokamilika, then you never know huenda akaenda siku yoyote. hebu niambie barabara ya singida-arusha au moshi-rombo ilikamilika lini na jk kenda lini. unaganisha doti acha kukurupuka.
 
watu bwn wanacho kiwaza ndicho wanacho kiongea bila kufikiria Jk atazindua nin kama ripot aliyopelekewa inasema mrad up
 
Jibu ni moja tu, Mwakyembe sio chaguo la Jk, hata Mwakyembe afanye nin Jk hawez kumpongeza ama kuupongeza mpangu aliousimamia..!!

Mkuu JF sio sehemu ya majungu na porojo...uwaziri ulimpa wewe?
 
Wana msiwe na haraka bado wanakamilisha ujenzi wa Jiwe la Msingi. Mnataka afungue bila kuacha ushahidi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom