Kwanini Kikwete hatembelei mradi wa treni ya Mwakyembe Dar?

kwani kwenye barabara alikuwa anazindua saburi lenu?
HUO MRADI NAO UNABOA SANA! MRADI KAMA HUO NA MABEHEWA YA KIAZAMANI KAMA HAYO ULIFANYWA uLAYA NA MAREKANI KARNE YA TISA, LEO HII UJE UFUFULIWE BONGO? TUNAONEKANA KWA JINSI GANI TUPO NYUMA kimaendeleo!hzi behewa zinatakiwa kung'aa kimakopo ya sterrer na sio kichuma chuma tuu! hebu kaone huko Kenya treni zao za mjini zinavyovutia ukiwa ndani. kweli Ujamaa na kujitegemea umeiangamiza nchi vibaya sana kupita hata vita vya wenyewe kwa wenyewe.
 
ivi kumbe huu ni mradi... tena wa treni ya Mwakyembe.. aiseee.. nashukuru kwa taarifa...

Atatembelea akialikwa na mwenya mradi..

........... JIFUNZENI KISWAHILI......
 
Mkuu JF sio sehemu ya majungu na porojo...uwaziri ulimpa wewe?

Lip jungu hapo boss? Au unaz unakupa shida mpaka unashindwa kutofautisha majungu na ukweli? Halafu unajiita mwanajf? Jf sio sehem ya unazi unaz.
 
kuna waziri na wizara husika pamoja na mawakala wake inayohusika na miundo mbinu hiyo huyo ndo anamwakilisha jk ni hatua ya mwisho
 
Back
Top Bottom