khaligraph
JF-Expert Member
- Nov 19, 2016
- 1,147
- 1,079
Kupanga ni kuchaguanenda salama braza.
nakubali sana swaga zako.
lakini najiuliza, ni kwa nn familia yako imeamua kukuzika dar es salaam na sio mbeya kwenu ?
jamani inapendeza sana siku tukifa tuzikwe mikoa tuliyo tokea
siku nikifa naomba nizikwe mkoa wa mara pale musoma mjini ( kamnyonge )kwenye chipuko la babu zangu.
hata wewe ukifa kazikwe kwenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Crap..Uache kabisa gharama za kusafirisha maiti yako, usitake kutupa mizigo ya bure. Kwani tukikuchoma moto au tukikuzika mabwepande utatufanya nini na ushakufa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ili siku akifufuka katika ufufuo afufukie dar!!Nenda salama braza, nilikuwa na badonakubali sana swaga zako.
Lakini najiuliza, ni kwanini familia yako imeamua kukuzika Dar es salaam na sio Mbeya kwenu ?
Jamani inapendeza sana siku tukifa tuzikwe mikoa tuliyotokea. Siku nikifa naomba nizikwe mkoa wa Mara pale Musoma Mjini ( Kamnyonge ) kwenye chipuko la babu zangu.
Hata wewe unayesoma hapa ukifa kazikwe kwenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda salama braza, nilikuwa na badonakubali sana swaga zako.
Lakini najiuliza, ni kwanini familia yako imeamua kukuzika Dar es salaam na sio Mbeya kwenu ?
Jamani inapendeza sana siku tukifa tuzikwe
mikoa tuliyotokea. Siku nikifa naomba nizikwe mkoa wa Mara pale Musoma Mjini ( Kamnyonge ) kwenye chipuko la babu zangu.
Hata wewe unayesoma hapa ukifa kazikwe kwenu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Uache kabisa gharama za kusafirisha maiti yako, usitake kutupa mizigo ya bure. Kwani tukikuchoma moto au tukikuzika mabwepande utatufanya nini na ushakufa?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Uache kabisa gharama za kusafirisha maiti yako, usitake kutupa mizigo ya bure. Kwani tukikuchoma moto au tukikuzika mabwepande utatufanya nini na ushakufa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Thread closed.Yaani unashangaa maamuzi ya familia yake?
Na wewe huo wosia waambie ndugu zako sisi haituhusu.
Kwani ni wote mkuuKuna makabila mengine ni mwiko kuzika mtu pasipo chimbuko la ukoo wake.mfano mkuu wahaya mara nyingi huzikwa huko vijijini
Sent using Jamii Forums mobile app
This is true kwa wale ambao wakitoka kwao na kuja mjini wanatupa jongoo na mti wake.... Sasa kama hujaenda kwenu for 10 to 20 yrs unategemea nini? Hujajenga kwenu, hueni salimia mjomba, baba mdogo, babu, mama mkubwa, hata wanaukoo wenu huwajui surely wewe lazima uzikwe kwenye makaburi ya umma Dar au mji ulikotopea....Umezaliwa DSM , umekulia DSM, Huko kijijini kwenu hamna anayekujua, babu yako na bibi yako walifariki miaka mingi. Ukazikwe kijijini kwenu au ukatupwe kijijini kwenu?
Hapa nimekumbuka mahubiri ya mchungaji Mgogo kwamba hata ukisema usipelekwe nyumbani siku ukifa, sisi tutakupaleka tu ili waone ulivyokuwa unakula bata mjini na kusahau kuwekeza kijijini kwenu[emoji23]Wengine wanaogopa kuzikwa kwao kwa sababu ya aibu kwani hawakukumbuka kuwekeza
Sent using Jamii Forums mobile app