Kwanini kiatu kilinikimbiza?

Mshua wako alikua na roho ngumu sana,
Vipi mother hakuingilia kati hiyo issue ili uingie ndani? coz kina Mama hua wana huruma.
 
Mzee nae anajua kuna mauza uza alafu anakuacha nje. Je? Asubuhi ungekutwa roho huna angelia ama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…