Kwanini kesi ya msingi ya Lema haisikilizwi?

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Aug 28, 2016
8,672
2,000
Nawashangaa hawa jamaa kila siku wako kwenye dana dana za rufaa! Au wanasheria wanataka kutajirikia kwenye kesi ya Lema?
Ilitakiwa isikilizwe, akiri au kukana kosa la uchochezi then kieleweke...
 
kabombe

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
26,042
2,000
Nawashangaa hawa jamaa kila siku wako kwenye dana dana za rufaa! Au wanasheria wanataka kutajirikia kwenye kesi ya Lema?
Ilitakiwa isikilizwe, akiri au kukana kosa la uchochezi then kieleweke...
Lema muoga wa kukaa mahabusu,ndio maana kang'ang'ania atolewe kwa dhamana
 
goodluck5

JF-Expert Member
Jan 8, 2014
4,772
2,000
Si mwenyewe alisema wanasheria wa chadema wasihangaike tena.....sasa unataka kesi gani tena itajwe??
Au humuamini kamanda Lema??
 
Macos

JF-Expert Member
May 12, 2008
1,976
2,000
Hamna kesi mkuu...wewe ulisikiawapi. Kesi ya mtualietamka ..
I have a dream....
Mkuu akitosheka watafuta kesi...polisi wenyewe naona watachoka kuendesha kesi hizi zisizo na miguuaa kichwa
 
Pohamba

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
24,103
2,000
Usawa huu wa Magu Wakili gan asietaka kula hela za Mfungwa anaefungwa kwa Makosa ya kipumbavu
 
Waziri kivuli

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
2,987
2,000
Hakuna kesi ndio maana mawakili wa jamhuri wanakomaa asipate dhamana kwa kuweka mapingamizi,wanajua huu ndio muda pekee wanaoweza kumuweka gerezani!
 
Waziri kivuli

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
2,987
2,000
Usawa huu wa Magu Wakili gan asietaka kula hela za Mfungwa anaefungwa kwa Makosa ya kipumbavu
Mawakili wa jamhuri wao wanatoa service bureee?

Lusekelo:waandishi walioniandika vibaya watakufa kabla ya 2017 kuisha!
Polisi:Anayeogopa kufa ni mpagani
Hakuna case

Lema:Magu asipoacha kujifanya Mungu,basi mungu atamchukua kabla ya 2020!
Polisi:Ana mpango wa kumuua Rais
Ana case ya kujibu

Pure double standard!
 
Jics

JF-Expert Member
Dec 16, 2016
239
500
naona hiyo kesi ipo kisiasa zaidi na mkakati wa chama kile cha kijani katika kumdhohofisha kisiasa maana chama cha kijani kinalitaka lile jimb. . kwa udi na uvumba
 
TL. Marandu

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
3,626
2,000
Nawashangaa hawa jamaa kila siku wako kwenye dana dana za rufaa! Au wanasheria wanataka kutajirikia kwenye kesi ya Lema?
Ilitakiwa isikilizwe, akiri au kukana kosa la uchochezi then kieleweke...
Kesi ya Msingi ya Lema ni Upuuzi kupita Maelezo, Majaji wa Tanzania wangekuwa ni Watu huru na Makini Katika hizi kesi za Kijinga wangetakiwa kutuzitupilia Mbali kesi na Kutoa Onyo Kali kwa waendesha mashitaka wa Serikali. Ningekuwa Jaji hawa washenzi wanaoleta kesi za Kijinga jinga ningewaweka Rumande masaa 48 ili Serikali ya Magufuli ijifunze adabu, na iache Kuzitumia Mahakama za Tanzania kama toilet papers za kujifutia maninii yao!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom