Kwanini kesi ya msingi ya Lema haisikilizwi?

ila mawakili wa lema akil imegota hapo au wanataka kumpiga pesa Lema,haiingi akiln kila siku rufaa ya jamhuri ikubalike na hat zarura haf mawakil wa lema wawe wanapgwa bao il hal wanajigamba wao wataalam wa sheria! kila siku pingamiz la serikal linakubalika haf kwa lema mawakil wake wanapgwa bao haf kunawakat mpaka wanafundishwa la kufanya haf mnasema mnamtetea m2 kama sio kupga pesa!
 
Nawashangaa hawa jamaa kila siku wako kwenye dana dana za rufaa! Au wanasheria wanataka kutajirikia kwenye kesi ya Lema?
Ilitakiwa isikilizwe, akiri au kukana kosa la uchochezi then kieleweke...
Wanasheria wa Lema wanachemsha sana vifungu..na asipoangalia atakaa mahabusu mwaka mzima kabla ya kesi ya msingi kusikilizwa kwa sababu tu ya upuuzi wa hawa jamaa.
 
Nawashangaa hawa jamaa kila siku wako kwenye dana dana za rufaa! Au wanasheria wanataka kutajirikia kwenye kesi ya Lema?
Ilitakiwa isikilizwe, akiri au kukana kosa la uchochezi then kieleweke...
Haiwezi kusikilizwa hadi watakapo maliza masuala ya dhamana,hilo liko juu ya mawakili wa lema wakiacha hizo rufaa basi atakaandani hadi kesi iishe,hivyo wenyewe wanataka apate dhamana na kesi isikilizwe akiwa nje.
 
Mi naona hawa mawakili wa Lema wanakula hela huku na huku,ingekuwa kamanda Lissu Lema angeshakuwa uraiani siku nyingi
 
Kesi ya Msingi ya Lema ni Upuuzi kupita Maelezo, Majaji wa Tanzania wangekuwa ni Watu huru na Makini Katika hizi kesi za Kijinga wangetakiwa kutuzitupilia Mbali kesi na Kutoa Onyo Kali kwa waendesha mashitaka wa Serikali. Ningekuwa Jaji hawa washenzi wanaoleta kesi za Kijinga jinga ningewaweka Rumande masaa 48 ili Serikali ya Magufuli ijifunze adabu, na iache Kuzitumia Mahakama za Tanzania kama toilet papers za kujifutia maninii yao!
Zinakutosha??
 
Hakuna kesi hapo mkuu wangu,ndio maana wanasheria wa serekali wanaona njia pekee ya kumwadabisha ni kuhakikisha anakosa dhamana.
 
Back
Top Bottom