Kwanini Kenya ni maarufu kuliko nchi nyingi za Afrika

I beg to differ ,Kenya hata vijijini mtandao upo strong.ila tz Arusha na dodoma katikati Hamna network I swear.
Hakuna kitu km hicho Kenya kuna vijiji hakuna network juzi iliruka Makala DW wananchi wanalalamika Kijiji siku-note down
 
Kwanza chunguza katika nchi zote za jumuiya ya Africa mashariki ndio wapo juu kiuchumi. Ni watu wajanja sana kiuchumi.
Uchumi wa Kenya wa makaratasi hauakisi uhalisia wa maisha.
Mwezi ulopita hiyo Kenya unayosifia tumeisaidia dawa za TB waliishiwa na stock mahospitalini.
William Ruto mwezi january alikuja kuomba fedha kwa SSH kuhusu akiba ya fedha ya kigeni.
Kenya inapokea msaada wa chakula toka WFP.
Asa sijui uchumi gani unauongelea kaka!?
 
Nyie mna Dola hivi sasa tunapochati?,na sukari jee?,umeme?..hahahaha kalb hayawan nyie,watafuteni washoshalisti wakawakwamue nyie mizigo Afrika Mashariki.
 
Nyie mna Dola hivi sasa tunapochati?,na sukari jee?,umeme?..hahahaha kalb hayawan nyie,watafuteni washoshalisti wakawakwamue nyie mizigo Afrika Mashariki.
Tatizo la dola la Tz unataka kufananisha na Kenya??
We matako yenye vipele kweli wewe.
Sukari ishaanza kushuka bei mtaani kwetu inauzwa robo 900-800.
Umeme pia mgao umepungua baada ya mtambo mmoja wa JNHP kuwashwa Kigamboni tuna wiki sasa umeme haujakatwa kama ukikata ndani ya nusu ama robo saa umerudi.
Aya una lingine la kuuliza kijana???
 
Mbona shida zetu unaongelea za kitambo na tukikuambia zenu za kitambo unaanza kujitetea eti mshaazisolve.
Hivi sisi bado tuna tatizo la dawa za TB? Bado tuna tatizo la dola? Mara ya mwisho tulipokea msaada wa WFP ni lini? Wacha upumbavu.
 
Dawa za TB nani aliyewasaidia kutatua kama sio Tanzania???
Vipi bei ya mafuta imeshuka ama bado??
Kuhusu dola nadhani unajua mmesolve tatizo kwa kuruka mavi na kukanyaga kinyesi mshajiongezea deni la serikali ambalo laonekana kutokua himilifu.
Kuhusu chakula tulia muda utafika mwisho si mwaka jana tu mlipewa msaada??
Tusubiri mwaka huu tuone.
 
Hawana wanachotuzidi kuna maeneo huko Kenya ukienda mpaka leo network hakuna mtandao haukamati inakulazimisha upande gari zaidi ya kilometres 20 ndio unaenda kupata mtandao Ila hilo TZ hakuna Jambo km hilo network kila unapoenda IPO, kwenye michezo the same hakuna wanachotuzidi labda uongozi tu TZ figisu nyingi riadha kuna wanariadha wazuri hapa Ila figisu figisu nyingi wanaishia kuozea kwenye mabanda ya kubet na vipaji vyao hadi wanakufa masikini

Ukija kwenye Muziki huko ndio kabisa wanamuziki wa TZ ndio masupastar wa kubwa wa Kenya, kwa hio hakuna wanachotuzidi labda kutoa rais wa Dunia ya kwanza kutoka Kabila la Wajaluo hapo ndio wanaweza sema aisee tumewapiga bao
Tanzania hii hii,niliyopo mimi, haina shida ya Network...!?
Wakati ndani ya Jiji la Dar kuna maeneo networks hazikamati...
 
Tukiweka Unafki pembeni,, Kweli Kenya ni Popular sana ,nafkiri inazidiwa na Egypt,Nigeria and S.A
Umaarufu wachagizwa na
1.Kutawala kwenye Riadha
2.Kuwa Waigizaji wakubwa Hollywood
3.Kuchangamkia fursa ughaibuni,
4.Demokrasia yao
5.Uhuru wa Mahakama yao
6.Obama factor
7.Teknolojia
8.wapo vizuri in Finance

Kwa nilivyotaja hapo juu,hatakama ukweli mchungu, lakini Kenya wapo vizuri...
 
Hivi kwanini KENYA ni maarufu kuliko nchi nyingi sana

Katika bara letu la AFRICA?

Yani ni vitu gani.....vinaifanya KENYA..ijulikane sana

Kuliko nchi nyingine nyingi za ukanda huu wa AFRICA?

Sahau kuhusu the issue of WILDLIFE.

WHY KENYA?
Wanaji brand sana...
Ukiwa mamtoni ukisema umetoka east Africa.....utaulizwa Kenya......halafu wakenya hawana aibu wana kiherehere sana na kujikomba sana kwa wazungu...kwa hiyo wazungu wanawakubali....huwezi amini kwa Marekani mkenya ndio anampa maisha mtanzania hasa kwenye majumba ya kutunza wazee.....halafu kwenye kila airport kubwa duniani huwezi mkosa mnyama KQ.
 
Hivi kwanini KENYA ni maarufu kuliko nchi nyingi sana

Katika bara letu la AFRICA?

Yani ni vitu gani.....vinaifanya KENYA..ijulikane sana

Kuliko nchi nyingine nyingi za ukanda huu wa AFRICA?

Sahau kuhusu the issue of WILDLIFE.

WHY KENYA?
Wakenya wengi wapo utumwani nchi za nje.
 
Labda km unatumia TTCL
Tigo na Voda zasumbua network Majohe,Buyuni,Chanika na Zingiziwa (Wilaya ya Ilala)
AIRTEL,Halotel,Tgo Zasumbua Mwasonga,Pemba mnazi (Wilaya ya Kigamboni)
Nenda Bunju B,Mabwe Pande na line yako ya Tigo, nenda Msumi,Makabe hata Mikocheni kuna maeneo Halotel ni shida.

Aya sasa nenda Arusha:Moshono,Olorien,Kwa Mrefu ,Chekereni uone Tgo inavyo feli...
Kondoa Tigo ndiyo ipo vizuri,zengine zote zafeli.

Mbeya bila voda hautoboi.
Chalinze pande za miono Voda inafeli...
Morogoro pande za Tubuyu, Tigo inafeli...

Itakuwa unaleta ushabiki na kuacha uhalisia...itakuwa una malizia mizunguko yako Posta na Kariakoo mkuu.
 
Hilo ni tatizo la mitandao ya Simu
 
Kwa sababu ya kiherehere. Ndio Mke wa kwanza wa Mmarekani Africa Ngoja waende Haiti kwanza ...Tataenda kuzika kila wiki, Alshabab Hawajamalizana Leo wanaongeza Haiti.
 
kiufupi ukiiondoa nchi chache za afrika magharibi especially nigeria Kenya ina world class celebrities wengi kuliko nchi yeyote africa, kenya ina dominate olympics kwenye marathon miaka mingi G. O. A. Ts hawa watu wanashiriki rugby world cups na walishakua na rais wa marekani kiufupi mijamaa inakelele sana uko duniani na wenzao wapopo sisi tupotupo tu kama mang'ombe
Kenya wana mpaka mcheza porn
Mashuhuri anatamba kweli anaitwa zawadi

Ova
 
Watu kama akili zenu ni kuwaza kukimbizana na mwenge mtakuwaje maarufu wakati ni wazi kwamba hamna akili.

Hata muamke mkute sukari kilo shilingi elfu kumi lakini bado tu mtamshangilia mama na kumvika majoho ya uchifu. Wakenya sio wajinga hivyo.
Mna mbwembwe nyieee
Unataka kutuona wengine kama
Kenya hatuijuwi
Nchi zote tunazidiana mambo fulani fulani

Ova
 
Mna mbwembwe nyieee
Unataka kutuona wengine kama
Kenya hatuijuwi
Nchi zote tunazidiana mambo fulani fulani

Ova
... Lakini tukubaliane kwamba pamoja na kwamba kuna mambo fulani fulani tunashabihiana lkn ukweli uko palepale kwamba huwezi kuwalinganisha watanzania na wakenya katika maswala ya kujitambua kwa watu.
 
Back
Top Bottom