Kwanini kazi nyingi za kijasusi ni za kifamilia (Family-friendly)?

Hapo kwenye red ndio wengi wanapopotezwa.
Kwa mfano kama famili yenyewe ni mawakala wa shetani wewe unategemea nini? Shetani ni muongo siku zote hivo mkuu nakushauri UOKOKE haraka sana MUNGU ndio kimbilio lako. Plz usipoteze muda...
mkuu hapo nilipo weka red ndo huwa wengi wanapotezwa pia, Sina uhakika kama umeokoka au la au unamuda gani katika wokovu, ndugu ngoja nikwambie hata huku kwenye wokovu shetani anatumia sana watu wa huku kwamaana inakuwa ngumu watu kuwa na tashwishi na watu wa huku, najua watu wengi sana ambao wako huku nurudi lakini na wakala wakubwa wa shetani, kuanzia wachungaji maaskofu mpaka wazee wa kanisa, je wajua kuwa wapo maaskofu wa makanisa ya wokovu ambao wanashiriki ushirikina ili kukaa kwenye viti vyao na wapo waliongia kwenye uaskofu kwa nguvu za wachawi? Ndugu kunamambo mengi nayajua siwezi kuya expose hapa nisije watia hofu watu walio kwenye wokovu. Kunakipindi mpaka nikasema ole wangu mimi kuyajua haya maana ni bora asiyejua. Ngoja niishie hapa kwa usalama wa roho za watu.
 
Mkuu woga wako tuu... Yes tunawajua vizuri sana hao hata maandiko yanasema kuwa watakuja manabii wauongo watafanya ishara na mambo makubwa ya miujiza? ila hilo lisikutie shida wewe kama kweli nia yako ni kuwa mtoto wa Mungu basi MUNGU mwenyewe atakuepusha na hao manabii wa uongo.

Ila kama nia yako ni ovu basi utakutana na waovu wabobevu humo. Mungu huangalia kilichopo rohoni mwa mtu hivyo humuepusha katika mabaya yote.
Na kwa taarifa yako tuu MUNGU anawajua watu wake wote hapa duniani mfano wewe anajua maisha yako yakakua vipi hapa duniani kwa hiyo atakuweka sehemu unayostahili.

Yapo mambo makubwa yakutisha mkuu achana na haya ya manabii wa uongo... nothing new.
 
Sawa
 
Nimeweza kuepuka jamaa na marafiki ktk jamii inayonizunguka kila siku wananiona mpya sizoeleki ila sasa najiuliza kwenye ndoa ntawezaje sababu unatakiwa uoe mtu kutoka familia nyingine tofauti naona kama ntaingiza adui nyumbani kwangu
 
Huruhusiwi kumwamini binadamu yoyote hapa duniani... ndivyo maandiko yanavyotusihi.
Pia tunashauriwa kuwapenda wazazi wetu ila tumpende MUNGU zaidi.
Tatizo la binadamu wengi huwaamini wapenzi au wazazi wao hawajui na wao ni binadamu tuu hivyo ni wakosefu.
Nadhani utapata mwangaza kidogo.

NB:Halafu mkuu naona unaiamini familia yako.
 
Kweli mkuu naiamini familia yangu sababu ndio imenilea na kufikia hapa, ila ninachokifanya hawawezi kuni define na huwa siwapi mambo yangu yote ninayotaka kuyafanya na ninayoyafanya wao wanakuja kushuhudia tu nimeshafanya jambo fulani hii njia inasababisha hata watu wangu wa karibu kushindwa kupata umbea kutoka kwa ndugu zangu mpaka leo hawajui mi ni mtu wa aina gani, nikiwa mbali nao hata simu siwapigii mpaka ntakapo rudi nyumbani ndio nakua karibu nao. Hii ni silaha adimu ninayoitumia.
 
Yakikupata utaukumbuka sana huu uzi na kwa taarifa yako ndivyo jamii nyingi za ulimwengu huu zilivyo. Lakini maandiko yanaonya hili pia kuwa usimwamini binadamu yeyote. Hata ukiwapenda wazazi wako basi MUNGU umpende zaidi...
 
Usipo waamini wazazi utamuamini nani sasa? Kumbuka mke si ndugu. Sijawahi juta kumuamini mzazi
 
haina maana wana nia mbaya wazazi wakati mwingine hawapendi mtoto a take risk hivyo unavyo Fanya ni sawa. Wakati mwingine yaweza kuwa si sawa. Wazazi wana tupenda sana. Hakuna mzazi anae taka majanga kwa mwanae
 
Ninayoyapitia siwezi andika hapa, familia inaweza kuwa mwiba katika maisha ya mtu, shetani anaweza kutumia familia kwaajili ya kumtesa mtu. Mara nyingi tunaamini kuwa familia yako haiwei kuwa against na wewe kumbe si kweli, Ndo maana katika makafara mengi ya damu mhusika anatakiwa kutoa damu ya ndugu wa kuzaliwa au mtoto hata mjukuu ili kuweza kupanda ngazi fulani katika ulimwengu wa nguvu za giza, au kunamikataba ya giza mtu anaingia kwa kujua au pasi kujua kisha baadae anatakiwa kutoa kafara ya mtu wa uzao wake.

Kunawakati mtu inabidi kujitenga kabisa na aina fulani ya watu ili kuweza kuvungu vizuizi fulani, inapobidi hata familia ndugu na wazazi inatakiwa kujitenga nao. Lakini kutokana na maisha ya kiafrika tunaamini kuwa wazazi hawawezi kudhuru mtoto wao wa damu.
Kwa MAMA kwa kweli ni ngumu japo haupaswi kumpa asilimia zote ila amini mama anafurahia mafanikio yako regardless ana kutreat vipi, Mtu asie aminika ni baba, The rest sijui uncle, mdogo wako, kaka ako anaweza kufanya chochote Kufanikisha yake, Mimi namuamini mama for 60%. The rest nakaa nao kwa akili tu
 
Mkuu Mleta mada huu uzi ni mzuri ila unataka uharibu kwa kuleta Mambo ya Mungu sio wote ni believers utakimbiza wachangiaji sasa ukianza kuhubiri kwenye bandiko lako hili
 
Siku nitakapoacha kupenda kazi ya Ujasusi ni siku nikiwa kwenye Msiba wangu nashihudia Jeneza langu linashushwa kaburini.

Kama Ronaldo alivyo na kipaji cha mpira ndivyo wengine tulivyo na vipaji vya ujasusi.
 
Usipo waamini wazazi utamuamini nani sasa? Kumbuka mke si ndugu. Sijawahi juta kumuamini mzazi
SI NDIO MAANA WAZEE WA KAZI WANAWAPATA KIRAHISI KWA HIYO NJIA.
Kama nilivyosema kwenye maelezo yangu hiyo ni fursa kwa wana kitengo kupata watu wao sasa kama huamini yakikukumba ndio utaukumbuka huu uzi.

Halafu mkuu usiwe unadharau hizi nyuzi huku jukwaani watu wengine yametupata ndio maana tumeyaleta kutoa ushuhuda ili kuwaokoa waliotekwa.
Fanya utafiti kwanza mkuu ndipo uweze kunena hivi hivi huwezi elewa kitu kwani bado wewe ni mweupe kichwani na off course sio makosa yako. Na kwa taarifa yako ujue ni wengi sana wametekwa kwa hiyo njia.
MUNGU awe nawe katika kipindi hiki kigumu...
 
Mkuu Mleta mada huu uzi ni mzuri ila unataka uharibu kwa kuleta Mambo ya Mungu sio wote ni believers utakimbiza wachangiaji sasa ukianza kuhubiri kwenye bandiko lako hili
Nalifahamu hilo mkuu ila kwa mtizamo wangu naona tusiwe wachoyo wa fadhila... Ni vizuri kuwaonyesha ndugu zetu njia tulizotumia kufanikiwa.

Hata kama ni non-believer naamini hatatoka bure kuna kitu kitamsaidia hapa.
 
Siku nitakapoacha kupenda kazi ya Ujasusi ni siku nikiwa kwenye Msiba wangu nashihudia Jeneza langu linashushwa kaburini.

Kama Ronaldo alivyo na kipaji cha mpira ndivyo wengine tulivyo na vipaji vya ujasusi.
KITU KIKITUMIKA VIZURI NA KWA HAKI NI SUALA JEMA SANA ILA UDANGANYIFU UKIWEPO BASI NI DHAMBI.
Binafsi naheshimu ujasusi kwa sababu ni taaluma ya kale sana hata kwenye maandiko tuliona MUNGU alivotumia wapelelezi kuichunguza nchi ya kaanani wakati Musa na baadae Yoshua akiwatoa wana wa Israeli utumwani Misri (Hesabu 13:1, Yoshua 2:1-24).

Tatizo kubwa ni uongo huo ndio mkosi ila haki ikitendeka mkuu mambo hupendeza sana.
 
Kwa MAMA kwa kweli ni ngumu japo haupaswi kumpa asilimia zote ila amini mama anafurahia mafanikio yako regardless ana kutreat vipi, Mtu asie aminika ni baba, The rest sijui uncle, mdogo wako, kaka ako anaweza kufanya chochote Kufanikisha yake, Mimi namuamini mama for 60%. The rest nakaa nao kwa akili tu
Yakikukuta utaukumbuka sana huu uzi Mimi naongelea from experience ya mambo yaliyowakumba watu wewe unazani nimeamka tuu huko nikaja kuandika hapa jukwaani?
Mkuu uwe unafanya tafiti kwanza ndipo ujiridhishe na sio applicable kwa kila mzazi ila tambua kuna wazazi wengine ni nuksi.
 
Mkuu mleta Uzi naomba kama inawezekana ukatushirikisha hayo yaliyokukuta maana wengine tunashindwa kupata picha kamili...mfano mzazi kautafutia kazi afu mtoto ukaharibu je kosa ni la mzazi au mtoto? Pls' Mr God's believer go on with your story by vivid example
 
Siku nitakapoacha kupenda kazi ya Ujasusi ni siku nikiwa kwenye Msiba wangu nashihudia Jeneza langu linashushwa kaburini.

Kama Ronaldo alivyo na kipaji cha mpira ndivyo wengine tulivyo na vipaji vya ujasusi.
ujasus wa kula papuch au ujasus upi
 
Yakikupata utaukumbuka sana huu uzi na kwa taarifa yako ndivyo jamii nyingi za ulimwengu huu zilivyo. Lakini maandiko yanaonya hili pia kuwa usimwamini binadamu yeyote. Hata ukiwapenda wazazi wako basi MUNGU umpende zaidi...
Yaonekana yamekupata poleh sana....
Unless km kuna threats otherwise familia ndo furaha ya maisha
Usiaminishe watu kutoamini mtu bila sababu...sababu ikiwepo sawa ...hatuishi ktk kisiwa na sio wote watapara majanga km yako
Wengi wanaishi vizuri tuu
 
Back
Top Bottom