na machinga piaIla swala la ajira kwa watz 24m yaweza kuwa sahihi maana ajira si zile rasmi tu Bali hata zisizo rasmi Huwa zinahesabiwa.
Mtu anafanhankazi mashambani, kwa mhindi, dereva wa daladala n.k.
Zote ni ajira
INAONEKANA MTANDAO UNAMWOGOPA SANA HUYU JAMAA!Nimekua namfuatilia sana Waziri mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa, kauli zake nyingi zimekua vice versa.
Je anapokua anazitamka hua yupo siriazi au anatania?
Mfano kauli yake ya mwisho hivi karibuni ni kwamba "Watanzania Milioni 24 wameajiriwa."
Nyingine ile "Tanzania tuna nafasi kubwa ya kucheza World Cup Qatar"
Nyingine nadhani mnazikumbuka hasa ile "mnataka azurule Kariakoo..."
Waziri Mkuu hatukuamini tena
Watanzania tunakadiriwa kua 50M.Ila swala la ajira kwa watz 24m yaweza kuwa sahihi maana ajira si zile rasmi tu Bali hata zisizo rasmi Huwa zinahesabiwa.
Mtu anafanhankazi mashambani, kwa mhindi, dereva wa daladala n.k.
Zote ni ajira
🤣🤣🤣Rais yuko imarakumbe mtu yuko hoi taabani
Ni sawa na kumwambia mwanafunzi wa mwaka wa kwanza chuoni kuwa una nafasi yakipara GPA ya 5 irskspomaliza chuo. Sada kaxi kwake nfivyo ilivyokuwa kwa taifa star.It is fact.Hiyo ya kuwa na nafasi kubwa kombe LA dunia ni kweli ila tumeichezea wenyewe
kwaiyo populationi watu milioni 50 humo kuna watoto, wazee, walemavu, n.k halafu hiyo 24m itatoka wapi usimtetee huyu aaminiki tena mm tangu amesema jamaa yupo na mafaili baada ya siku nikaona gwaride sina hamu naeIla swala la ajira kwa watz 24m yaweza kuwa sahihi maana ajira si zile rasmi tu Bali hata zisizo rasmi Huwa zinahesabiwa.
Mtu anafanhankazi mashambani, kwa mhindi, dereva wa daladala n.k.
Zote ni ajira
Kwa Huo Ushahidi Wa Kauli Tata Nchi Nyingine Hasa Majuu Alitakiwa Ajiuzuru MwenyeweRais yuko imarakumbe mtu yuko hoi taabani
Huyu haaminiki, kumbuka alimwacha mgonjwa akiwa mahututi wodini Dar akaenda kuhamasisha kilimo cha parachichi NjombeNimekua namfuatilia sana Waziri mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa, kauli zake nyingi zimekua vice versa.