Popote duniani hakuna nchi inayoweka kumbukumbu ya dna ya mtu bila sababu. Unless una criminal record ama ulishawahi kuwa suspected na kupimwa, huhitaji kuwekewa hiyo. Inapotokea ajali, ndugu wa karibu atapimwa for matching purposes. DNA is an expensive processes and very unnecessary for that purpose.
Badala ya kuwekeza kwenye DNA tukinuia ku-match wakati wa ajali, heri tuwekeze kwenye kuzuia ajali, waonaje?