Kwanini katika picha utaonaa shetani mweusi na malaika mweupe?

Kwanini katika picha utaonaa shetani mweusi na malaika mweupe?

mmh! ya kweli haya? tafsi ipi hiyo ya kibiblia? Kanaan ni nchi ya ahadi, sasa wewe umepata wapi hiyo tafsiri? Hebu thibitisha ni wapi nisome.

Inawezekana ikawa Canaan ni nchi ya ahadi, mimi wala sipo kwenye nchi ya ahadi, hata nikiwaponda, si inaweza kuwa Afrika? Why not? Mimi nipo kwenye mwanamke wa Kikanaan aliyeitwa mbwa na Yesu, sasa pata ufafanuzi kutoka kwa magwiji (theologians) wa Kikristo, kuhusu Canaan:

The Curse of Ham: Race and Slavery in Early Judaism, Christianity, and Islam - David M. Goldenberg - Google Books

Bofya hiyo link soma, halafu unambie umekiona nini huko?

Yeyote anae isoma biblia kwa kutaka kujuwa huwa vitu asivyovijuwa anachambuwa, hakuna asiyejuwa kuwa Canaan ni mtoto wa Ham aliyelaaniwa na babake, Noah, Ham maana yake ni Mweusi na Wamoto. Na Hiyo laana ya Noah ndiyo baadhi wana theolojia wa Kikristo wanasema ndiyo watu weusi na wana theolojia wa Kiyahudi wote wanaaminishwa hivyo kuwa hao wa Canaan ndiyo kizazi cha laana na wakawa weusi. Fata link, huwa sikisii.

Kinana, ndiyo hao akina Canaan, ni mweupe yule?
 
wap kwenye biblia wameandika wacanaan walikua watu weusi. tatizo la ujuaji na kujifanya unajua kila kitu.ukinipa huo mstar wa biblia najiondoa jamiiforums. bible knowledge na divinity ni expertize za watu na sio waganga njaa kama ww

Kasome post namba 61 nimesha jibu hilo. Someni, siyo mnapinga tu vitu bila kuwa na ilmu navyo.
 
Kasome post namba 61 nimesha jibu hilo. Someni, siyo mnapinga tu vitu bila kuwa na ilmu navyo.

Nashukuru kwa majibu mazuri ya hapo juu.ila ninaomba unifafanulie hivi ni kweli biblia imeandika Canaan alikuwa mweusi au ni wazungu wanazingua
 
Kasome post namba 61 nimesha jibu hilo. Someni, siyo mnapinga tu vitu bila kuwa na ilmu navyo.

elimu niliyonayo kuhusu biblia ata chembe huna.nimekwambia nipe quote ya biblia inayosema watu wa canaan ni weus.sawa origin ya watu wa canaan ni ham aliyelaaniwa na noah baadavya kumchungulia uchi wa baba ake noah aliyekua amelewa chakali mpaka akavua nguo zote.kosa la ham ni kuangalia uchi wa babake.haimaanish kuwa laana ilimfanya ham awe mweusi.acha kugoogle nenda college chukua kozi ya divinity then ndo urud uje uargue na mtu kama mimi.kama noah alikua mweupe iweje mtoto wake ham awe mweusi??? usipende kuquote vitu usivyovijua.
 
Kasome post namba 61 nimesha jibu hilo. Someni, siyo mnapinga tu vitu bila kuwa na ilmu navyo.
hamna aliyekwambia umquote david goldenberg aliyeandika kitabu hicho hapo juu.jenga hoja kwa kuquote mistari ya biblia na si watu kama akina goldenberg wanaoitafsri biblia kwa malengo yao binafsi
 
Nashukuru kwa majibu mazuri ya hapo juu.ila ninaomba unifafanulie hivi ni kweli biblia imeandika Canaan alikuwa mweusi au ni wazungu wanazingua

Kwa imani yangu, hata yale maneno ya kusema Yesu kamwita mbwa yule mwanamke wa Kikanaani, mimi siamini kama ya Mtume wa Mwenyeezi Mungu Yesu AS anaweza kuwa na maneno makali na machafu namna hiyo, utayakuta kwenye Matthew 15: 25-27. naamini kuna mkono wa mtu mwingine hapo na si Yesu.

Unajuwa wazungu wametengeneza kila kitu kwa mfumo ambao unamdhalilisha yeyote asiye mzungu, ni mahodari sana kwa ku brain wash watu mpaka wajione si lolote si chochote bila ya mzungu na bila kujijuwa, na hususan ni wazungu Wayahudi. Ni watu hatari sana.

Utakuta kwenye tafsiri za siku hizi za wanazuoni Wakikristo wanaikataa hiyo tafsiri ya kuwa Kizazi cha Noah kililaaniwa na kikawa cheusi. Ajabu sana, unajuwa kuwa hata neno "Cushite?" linatokana na hizo-hizo tafsiri za watoto wa Ham? Lakini ukisoma Watafsiri wa Talmud ya Kiyahudi hilo ndiyo liko wazi kabisa mpaka leo na wanaaamini hivyo kabisa, jisomee:

[SIZE=+1]" Now, I can no longer engender the fourth son whom I would have gave the order (&#8230😉
your children shall serve, you and your brothers ! It has to be Canaan, your first born, that they shall take as a slave.
And since you have made me incapable of doing bad things in the darkness of the night, the
children of Canaan will be born ugly and black ! Also, because you have stretched yourself to see my nudity, the hair of your grandchildren will curl so that it turns nappy and their eyes will be red, also, because your lips have joked about my misfortune, yours will swell and since you had a lack of respect for my nudity, they will go around naked and their virile part extend ignobly."

Soma zaidi: Curse of Ham (Ham's curse)

Inashangaza sana hawa Wayahudi kwanini wanakuwa hivi.
[/SIZE]
 
elimu niliyonayo kuhusu biblia ata chembe huna.nimekwambia nipe quote ya biblia inayosema watu wa canaan ni weus.sawa origin ya watu wa canaan ni ham aliyelaaniwa na noah baadavya kumchungulia uchi wa baba ake noah aliyekua amelewa chakali mpaka akavua nguo zote.kosa la ham ni kuangalia uchi wa babake.haimaanish kuwa laana ilimfanya ham awe mweusi.acha kugoogle nenda college chukua kozi ya divinity then ndo urud uje uargue na mtu kama mimi.kama noah alikua mweupe iweje mtoto wake ham awe mweusi??? usipende kuquote vitu usivyovijua.

Unaongelea course ya divinity? wakati hata background yangu huijuwi? Unanshangaza sana.

Kama umesoma kuhusu curse ya Ham, nnauhakika utajuwa kuwa theologians wa zamani wa Kizungu karibu wote waliamini hivyo, hapo tutakesha na ma reference ntakutolea humuhumu kwenye google, leo tuna the most powerful tool in our fingertips ambayo inatumiwa na wasomi wote duniani unaniambia nisiitumie? Unanchekesha.
 
hamna aliyekwambia umquote david goldenberg aliyeandika kitabu hicho hapo juu.jenga hoja kwa kuquote mistari ya biblia na si watu kama akina goldenberg wanaoitafsri biblia kwa malengo yao binafsi

Kijana naona sasa hoja imekushinda. Link nikupe mimi uende ukasome halafu unajidai mjanja, sema ulichokisoma ambacho huridhiki nacho ni kipi? Biblia si ndiyo mnasema siku zote mpaka itafsiriwe na siyo kukariri tu? sasa nakupa reference za hao hao wenzenu walioitafsiri unakataa? mbona hamsadifiki nyinyi?

Wewe huamini kuwa laana yenyewe ndiyo ikawafanya weusi? Kuna mwingine kaandika walikuwa weusi laana ikawafanya wakawa weupe! sasa fikiri, unataka Kanaani wawe weusi baada ya laana wakawa weupe> au unataka weupe baada ya laana wakawa weusi, tafsiri zote zipo hizo.
 
Mkuu nn maana ya chimbuko la jina afrika je ni wazungu au ni waarika wenyewe ?

Hili nimelijibu katika post namba 8, kajisomee.

Chimbuko la jina Afrika ni Waafrika wenyewe, unajuwa Waafrika ni wabaguzi sana, na chimbuko la hilo jina ni ubaguzi wa wale Waafrika waliowahi kustaarabika kuwaona wenzao ni Afrikya. Kasome post namba 8 utaelewa nnachokimaanisha hapa.
 
Kijana naona sasa hoja imekushinda. Link nikupe mimi uende ukasome halafu unajidai mjanja, sema ulichokisoma ambacho huridhiki nacho ni kipi? Biblia si ndiyo mnasema siku zote mpaka itafsiriwe na siyo kukariri tu? sasa nakupa reference za hao hao wenzenu walioitafsiri unakataa? mbona hamsadifiki nyinyi?

Wewe huamini kuwa laana yenyewe ndiyo ikawafanya weusi? Kuna mwingine kaandika walikuwa weusi laana ikawafanya wakawa weupe! sasa fikiri, unataka Kanaani wawe weusi baada ya laana wakawa weupe> au unataka weupe baada ya laana wakawa weusi, tafsiri zote zipo hizo.
either hujielew au hujui ata unaongea nn.toa quote ya biblia inayosema wacanaan walikua weus.full stop.
 
Unaongelea course ya divinity? wakati hata background yangu huijuwi? Unanshangaza sana.

Kama umesoma kuhusu curese ya Ham, nnauhakika utajuwa kuwa theologians wa zamani wa Kizungu karibu wote waliamini hivyo, hapo tutakesha na ma reference ntakutolea humuhumu kwenye google, leo tuna the most powerful tool in our fingertips ambayo inatumiwa na wasomi wote duniani unaniambia nisiitumie? Unanchekesha.

divinity huijui wala huiwez.kwa argument zako ata mtoto mdogo anaweza kung'amua kuwa huijui biblia vizuri.DD (doctorate of divinity) ni pstgraduate course ya biblia inatolewa kwa muda wa miaka minne.nenda shule acha kudanganya watu mitandaoni.huijui biblia.full stop.end of story.i am out
 
Leta vitu. Mimi siijuwi ila nnawajuwa wenye DD walio debate na mzee mmoja hajasoma DD kama wao, wakabakia kuaibika.

Mimi ntakuletea vitu humu-humu kwa ku google

Jee, umeliona swali nililokuuliza kwenye post namba 70? au nilirudie?
 
either hujielew au hujui ata unaongea nn.toa quote ya biblia inayosema wacanaan walikua weus.full stop.

Nini maana ya jina Ham, kwenye Biblia? kama wewe kweli msomi wa Biblia leo tutakujuwa hapa.
 
du! ndugu punguza kidogo. umetisha!

Hahahaaa😝😋 😎umenikumbusha mbali sanaa daa eti skull ukiwa mtukutu unaingizwa kwenye black book..😦😛🙊
 
Mkuu,

Kuna msemo mmoja wa Kiswahili unasema kuwa "ukiona mti unatupiwa sana mawe jua una matunda tena matamu sana"

Tangu enzi za siku nyingi sana kuna kampeni za chini chini za kumfanya mtu mweusi [sio Mwafika] ajione duni kwasababu ni binadamu bora na hata mitume wote pamoja akiwepo na Yesu mwenyewe walikuwa ni watu weusi!

Tunaomba uthibitishooo yesu alikuwa mweusi?😧
 
Unaongelea course ya divinity? wakati hata background yangu huijuwi? Unanshangaza sana.

Kama umesoma kuhusu curese ya Ham, nnauhakika utajuwa kuwa theologians wa zamani wa Kizungu karibu wote waliamini hivyo, hapo tutakesha na ma reference ntakutolea humuhumu kwenye google, leo tuna the most powerful tool in our fingertips ambayo inatumiwa na wasomi wote duniani unaniambia nisiitumie? Unanchekesha.

Hahahaaaa sisi tunawasikilizaa tuu wasomi wetu mpakaa mtakapo tupa majibu sahihii😥😚😲 ndio raha ya kuwa na wasomi hum..
 
SHEtani ufalme wake ni wa gizani na Mungu ufalme wake ni wa nuru,,so kule kuoneshwa kwamba ni mweusi sign tu kwamba yeye si wa nuru
 
Back
Top Bottom