Kwanini katika picha utaonaa shetani mweusi na malaika mweupe?

Kwanini katika picha utaonaa shetani mweusi na malaika mweupe?

mbusage

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2014
Posts
447
Reaction score
123
Wakuuu hebu mnisaidiee hilii maana me huwa sielewii. kwa nini katika picha,filamu,utaona picha ya shetani ni mwafrikaa au mtu mweusii na maraikaa ni mzunguu..haapa inakuwajee??😟?
 

Attachments

  • 1421236513724.jpg
    1421236513724.jpg
    20.2 KB · Views: 2,315
  • 1421236525434.jpg
    1421236525434.jpg
    25.6 KB · Views: 2,557
mhh ngoja waje! Ila mkuu mbusage ni reference za watu tuu kiuhalisia sioni kama lina ukweli.
 
kwa sababu Mungu tunayemuabudu asili ni kutoka kwa watu weupe..... sasa tuliopokea ni weusi .... kwa hiyo kabla hawajagundua ssi ni watu walihisi sisi ndiyo mashetani,,,, baada ya kujua sisi ni watu kama wao ile hali na hisia wakaendelea kumwona shetani mweusi............ simple mind think simple thing :yawn:
 
Wakuuu hebu mnisaidiee hilii maana me huwa sielewii. kwa nini katika picha,filamu,utaona picha ya shetani ni mwafrikaa au mtu mweusii na maraikaa ni mzunguu..haapa inakuwajee??😟?

Nafikiri hauko sahihi sana ikiangalia picha za vampire wengi si ngozi yangu
 
Hata jina Africa limetokana na Afrit aka kubwa la mashetani, unashangaa ya picha?

[h=2]af•reet[/h] [h=2]or af•rit[/h] (ˈæf rit, əˈfrit)

n. a powerful evil demon or monster in Arabian myths.
[1795&#8211;1805; < dial. Arabic &#8216;afr&#299;t < Pahlavi &#257;fr&#299;tan]
 
Kakaa vampire sio shetani..coz vampire in watu waliokufa wanaishi gizani na nasurvive by drinking human mamal blood af shetani ni kitu kingine kabisaaa
 
Hata mimi najiuliza swali kwann shetani awe mweusi wazungu wana zalau sana inamaana ss weusi ndo mashetani

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Kwa heshima na taadhima naomba nimkaribishe Mr Kiranga mahali hapa tupate mchango wake kuhusiana na hili suala lililoibuliwa na mleta uzi.
Lakini pia namleta kwenu mr Eiyer ili tupate uchambuzi wake makini kuhusiana na hili!
Asanteni sana, na tuwasubiri hawa niliowakaribisha mahali hapa.
 
Last edited by a moderator:
Wanatuzarau sana lakini wameshindwa kutengeneza toilet paper nyeusi. So don't worry, you just wipe your ASS.. happily with white toilet paper. AND by the way, white cars are cheaper than black cars ( or any other colors).
 
Wanatuzarau sana lakini wameshindwa kutengeneza toilet paper nyeusi. So don't worry, you just wipe your ASS.. happily with white toilet paper. AND by the way, white cars are chipper than black cars ( or any other colors).

Hahahahaaaaa
 
Wakuuu hebu mnisaidiee hilii maana me huwa sielewii. kwa nini katika picha,filamu,utaona picha ya shetani ni mwafrikaa au mtu mweusii na maraikaa ni mzunguu..haapa inakuwajee??&#128543;?

Kwanza kabisa hakina mtu mweupe wala mweusi strictly speaking.
 
Mi naona nyeusi inaashiria maangamizi thats y shetani wamempa rangi nyeusi
 
Unaongelea shetani? hata Yesu mtu mweusi alimwita "mbwa". Ushahidi huu hapa:

"And, behold, a woman of Canaan came out of the same coasts, and cried unto him, saying, Have mercy on me, O Lord, thou son of David; my daughter is grievously vexed with a devil. But he answered her not a word. And his disciples came and besought him, saying; Send her away; for she crieth after us. But he answered and said, I am not sent but unto the lost sheep of the house of Israel. Then came she and worshipped him, saying, Lord, help me. But he answered and said, It is not meet to take the children's bread, and to cast it to dogs. And she said, Truth, Lord: yet the dogs eat of the crumbs which fall from their masters' table. Then Jesus answered and said unto her, O woman, great is thy faith: be it unto thee even as thou wilt. And her daughter was made whole from that very hour." Matthew 15:22-8
 
Back
Top Bottom