Kwanini katika picha utaonaa shetani mweusi na malaika mweupe?

Kwanini katika picha utaonaa shetani mweusi na malaika mweupe?

Ni lini na wapi alimwita, mtu mweusi Mbwa; Maana watu Mnaojilipua ili kwenda peponi kuusemea Vibay ukristo ndo deal. Ebu Kaangalia Kikatuni Kilivyochorwa Charlie Hebdo France.

We nawe hujui hata hilo liimani unaloliamini, Kakupo msitari hapo juu, kwani mkanaani ni mtu wa wapi kwa akili zako?
 
We nawe hujui hata hilo liimani unaloliamini, Kakupo msitari hapo juu, kwani mkanaani ni mtu wa wapi kwa akili zako?

Ebu Angalia Picha ya wanajiita wapigania dini na Mashujaa wa Imani Potofu ya......
jF598u3dlZ8eR34O8i9eJZfDwnKYXw5zwQi3EuVXovxKlFuNcqtRfi3Gb8T5LbaUesltIbWdSIUTyUgiFU2mYsnkTirFptPcbprPJPlcQvgvgc W8FyGY3fZeJqNp M7qZ1YMhoRImF O8SGXsVLNjei62vh9bXwX1P1j5O2CbK8AAAAAElFTkSuQmCC

Amedy Coulibaly and Hayat Boumeddiene: Magaidi yenye imani yenye Utata , kwenye Mahusiano yenye utata: Habari za Kuaminika zinasema kutokana na interview aliyofanyiwa na police wa Ufaransa 2010, Boumeddiene ( Kulia), anadai kuwa mmewe Coulibaly (kushoto) , wamekuwa wakipigana kila wakati kwani mmewe alikuwa anataka kuoa mke wa pili.
 
Ni lini na wapi alimwita, mtu mweusi Mbwa; Maana watu Mnaojilipua ili kwenda peponi kuusemea Vibay ukristo ndo deal. Ebu Kaangalia Kikatuni Kilivyochorwa Charlie Hebdo France.

Ryaro wa Ryaro, ni watu kutokutaka kujisomea kunawafanya wasielewe mambo madogo kama hayo, watu hujisomea kijuujuu na huishia kugusagusa tu na kufikia kutokuona wala kuhoji wanayoyasoma.

Wakati wa Yesu watu walikuwa wakiitana kwa sehemu zao walizotoka au vizazi vyao kama ni maarufu, tunasoma kuwa hata Yesu aliitwa Mnazareti kwa kuwa huko ndiko alikotokea, au hujuwi hilo?

Sasa katika hiyo hiyo aya uliyouliza "ni lini na wapi alimwitwa, mtu mweusi mbwa", nakuomba isome vizuri, Jee unaona huyo mwanamke anaitwa "Mkanaani", sasa nenda katafute reference zozote uzijuazo wewe uje utuambie hapa Wakanaani ni akina nani kama si watu weusi.

Kwa kukusaidia kiduchu, tafuta kisa cha laana ya watoto wa Noah (Nuhu), utajuwa wa Canaan ni akina nani.

Usifanye pupa, ukiipitia hii nyuzi kwa utaratibu utaona reference nyingi tu lakini sikulazimishi kuzifuata hizo, nenda kajisomee, sasa hivi kuna huu mtandao wa inteneti umekuwa ni library kubwa sana sana duniani kwenye vidole vyetu.
 
Unaongelea shetani? hata Yesu mtu mweusi alimwita "mbwa". Ushahidi huu hapa:

“And, behold, a woman of Canaan came out of the same coasts, and cried unto him, saying, Have mercy on me, O Lord, thou son of David; my daughter is grievously vexed with a devil. But he answered her not a word. And his disciples came and besought him, saying; Send her away; for she crieth after us. But he answered and said, I am not sent but unto the lost sheep of the house of Israel. Then came she and worshipped him, saying, Lord, help me. But he answered and said, It is not meet to take the children’s bread, and to cast it to dogs. And she said, Truth, Lord: yet the dogs eat of the crumbs which fall from their masters’ table. Then Jesus answered and said unto her, O woman, great is thy faith: be it unto thee even as thou wilt. And her daughter was made whole from that very hour.” Matthew 15:22-8

Mtakua mmeenda mbali sana kwa kuwa hamna mwenye uhakika kuwa huyo mwanamke alikua mweusi.. (nimeona post zako nyingine kwa nini umesema mkaanani ni mtu mwenusi) na wala sipingani na wewe.. nasema hivyo kwa sababu kuna mwanafunzi mmoja wa Yesu anaitwa Simon mkaanani mathayo 10:4 (au zolete) huyo simon aliitwa mkaanani kwa sababu alikua anatokea sehemu inaitwa KANA... kwa hiyo hata huyo mwanamke kuna mkubwa uwezekano alikua anatokea KANA (japo najua hakua mwisrael) au tukubaliane kuwa hata huyo simon alikua ni mwafrika..
 
Tuchukulie, kwa kutaka kuelewana tu, kuwa huyo si Mkanaani si mweusi na ni Mkanaani mweupe, sawa?

Sasa jiulize, hao waliotajwa kuwa ni kondoo ni akina nani? na hawa wengine nje ya hao kondoo ni mbwa ni akina nani?

Jibu ni rahisi sana na lipo hapo hapo "I am not sent but unto the lost sheep of the house of Israel.", kondoo hapo ni wana wa Israel basi. Wengine wote ni mbwa.

Jee, wewe ni katika wana wa Israel? fikiri.
 
Mohammed referred to Blacks as "raisin heads".

(Sahih Al Bukhary vol. 1, no. 662 and vol.9, no. 256).

Mohammed is quoted as saying that Blacks are, "pug-nosed slaves". (Sahih Moslem vol. 9 pages 46 and 47).

Hadith; vol.9:162,163: Muhammad warned that
dreams of black women meant disease was forthcoming.

"I heard the Apostle say: ‘Whoever wants to see Satan should look at Nabtal!' He was a black man with long flowing hair, inflamed eyes, and dark
ruddy cheeks.... Allah sent down concerning him: ‘To
those who annoy the Prophet there is a painful doom." [9]
"Gabriel came to Muhammad and said, ‘If a black man comes to you his heart is more gross than a donkey's.'" ~Ishaq 243

"It is your folly to fight the Apostle, for Allah's army is bound to disgrace you. We brought them to the pit. Hell was their meeting place. We collected them there, blackslaves, men of no descent ." ~Ishaq 450

"Ham [Africans] begat all those who are black and curly- haired, while Japheth [Turks] begat all those who are full- faced with small eyes, and Shem [Arabs] begat everyone who is handsome of face with beautiful hair. Noah prayed that the hair of Ham's descendants would not grow
beyond their ears, and that whenever his descendants met Shem's , the latter would enslave them ." ~Tabari II:21
 
Tuchukulie, kwa kutaka kuelewana tu, kuwa huyo si Mkanaani si mweusi na ni Mkanaani mweupe, sawa?

Sasa jiulize, hao waliotajwa kuwa ni kondoo ni akina nani? na hawa wengine nje ya hao kondoo ni mbwa ni akina nani?

Jibu ni rahisi sana na lipo hapo hapo "I am not sent but unto the lost sheep of the house of Israel.", kondoo hapo ni wana wa Israel basi. Wengine wote ni mbwa.

Jee, wewe ni katika wana wa Israel? fikiri.

nilishafikiri sana tu...
sasa suala lilikua ni kuwa "aliitwa mbwa kwa kuwa ni mweusi" ndiyo mada tuliyonayo... nilitaka niweke vizuri tu kuwa kama unasema alikua mweusi kwa sababu tu alikua ni mkaanani basi kulikua na mkaanani mwingine ambaye alikua mwanafunzi wa Yesu..

hilo suala la kutotumwa kwa kondoo waliopotea wa Israel na mbwa ni akina nani... hilo nalo ni somo jingine lenye elimu na upana wake...
tusimbadilishie mbusage mada yake
 
Hata huyo mwingine nae kama ni Mkanaani basi ujuwe alikuwa mweusi.

Ushahidi niemeweka juu huko kuwa Canaan ni kizazi cha Ham waliolaaniwa kwa kumchungulia baba yao Noah (wengine wamefikia kusema mpaka walimfanya vibaya) wakalaaniwa wakawa weusi na ndiyo wanasema chimbuko la watu weusi.

Ni nini unachokipinga, nimekwambia fanya tafoto uje hapa na kusema, hapana hakuwa mweusi, na ukiweza kufanya hivyo ntakubalina na wewe na ntarudi kwenye hoja ile ya kuwa, haya si weusi, lakini Jee, wewe ni katika hao kondoo wa Israel? au mbwa tu usiye katika kondoo? Fikiri.
 
Wanatuzarau sana lakini wameshindwa kutengeneza toilet paper nyeusi. So don't worry, you just wipe your ASS.. happily with white toilet paper. AND by the way, white cars are cheaper than black cars ( or any other colors).

Point.
 
Kwani ni kwanini malaika ni wakike na shetani ni wakiume??
 
Hata huyo mwingine nae kama ni Mkanaani basi ujuwe alikuwa mweusi.

Ushahidi niemeweka juu huko kuwa Canaan ni kizazi cha Ham waliolaaniwa kwa kumchungulia baba yao Noah (wengine wamefikia kusema mpaka walimfanya vibaya) wakalaaniwa wakawa weusi na ndiyo wanasema chimbuko la watu weusi.

Ni nini unachokipinga, nimekwambia fanya tafoto uje hapa na kusema, hapana hakuwa mweusi, na ukiweza kufanya hivyo ntakubalina na wewe na ntarudi kwenye hoja ile ya kuwa, haya si weusi, lakini Jee, wewe ni katika hao kondoo wa Israel? au mbwa tu usiye katika kondoo? Fikiri.

mimi wala sitaki kugusa kwenye ushahidi wako kuhusu canaan na ham..
kwenye red hapo juu.. tuamue kuwa nae ni MWEUISI wala tusifanye uchunguzi...

Ninachopinga ni hiki.
kama huyo mwanafunzi ni mweusi na yeye (Yesu) ndiye aliye mchagua awe mwanafunzi wake, atembee nae pamoja,wale pamoja, na wafanye wote huduma kwa miaka mitatu... haiwezekani na haiingii akilini amwite mtu mwingine mbwa (kwa sababu ya weusi wake) wakati anatembea na kula na mbwa mwingine (kwa mtazamo wako) kwa mda wa miaka mitatu.. hii kitu HAIWEZAKANI
zamu yako kufikiria...
 
Hata huku ndani wengi mnapenda kuweka avatars za watu weupe inaelekea weupe umetukuzwa duniani na mbinguni watu weusi ndio watu washenzi hapa duniani.ambao hawana hadhi yeyote.
 
Hata huku ndani wengi mnapenda kuweka avatars za watu weupe inaelekea weupe umetukuzwa duniani na mbinguni watu weusi ndio watu washenzi hapa duniani.ambao hawana hadhi yeyote.

Mmhhh nalo nenoooo aseeeeee????
 
mimi wala sitaki kugusa kwenye ushahidi wako kuhusu canaan na ham..
kwenye red hapo juu.. tuamue kuwa nae ni MWEUISI wala tusifanye uchunguzi...

Ninachopinga ni hiki.
kama huyo mwanafunzi ni mweusi na yeye (Yesu) ndiye aliye mchagua awe mwanafunzi wake, atembee nae pamoja,wale pamoja, na wafanye wote huduma kwa miaka mitatu... haiwezekani na haiingii akilini amwite mtu mwingine mbwa (kwa sababu ya weusi wake) wakati anatembea na kula na mbwa mwingine (kwa mtazamo wako) kwa mda wa miaka mitatu.. hii kitu HAIWEZAKANI
zamu yako kufikiria...

Naam, sasa jiulize ni nani? aliyeyapachika hayo maneno kama unakubali si Yesu awezae kuyasema kwa kuwa alikuwa na mwanafunzi mweusi.

Ukinisoma huko nyuma kwenye aya hiyo, nimesema mimi siamini kama Yesu Alayhi Salaam, Mtume wa Mwenyeezi Mungu anaweza kuongea maneno makali namna hiyo. Naona hata wewe haikuingii akilini. Temna hiyo aya hapo wameifupisha kwingine inasema "mbwa" na "nguruwe".

Jee, ni nani hao mbwa? na nguruwe? na ni maneno ya nani hayo? Fikiri.
 
Jamani naulejeshaa huuu Uzi kwenu tenaaa..nataka kujua kwa nini wazungu wana natumia #whitecolour 4 kwa vitu vizuriii Na #black kwa vituuu vibayaaa... Maana waungwanaa mlianzisha mada nyingine kabisaaaaaaa???
 
Back
Top Bottom