Kwanini katika Mbuga ya Mikumi hakuna Trafiki wa tochi?

Kwanini katika Mbuga ya Mikumi hakuna Trafiki wa tochi?

K 4 LIFE

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2015
Posts
2,567
Reaction score
419
Wakuu jana nimepita Mikumi naenda Iringa lakini cha ajabu tulipopita katikati ya mbuga ya Mikumi hatukuona Trafic wa aina yoyote si wa kawaida wala wale wapiga tochi na pale magari yanapita spidi ajabu kitu ambacho ni hatari kwa wanyama wetu.

Jamani serikali wekeni trafic wa kutosha pale Mikumi mbugani sawa.
 
huwa wanakaa mkuu ukiona gari ndogo imepak ujue wazee Wa. kumulika
 
Sasa kama hakuna trafiki na magari yanapita kwa mwendo kasi si ni hatari ya kutokea ajali?, Mimi nashauri trafiki wapelekwe ili kuzuia ajali.
 
utadai na zebra za kuvukia wanyama nazo ziwekwe
 
wakuu jana nimepita mikumi naenda iringa lakini cha ajabu tulipopita katikati ya mbuga ya mikumi hatukuona trafic wa aina yoyote si wa kawaida wala wale wapiga tochi na pale magari yanapita spidi ajabu kitu ambacho ni hatari kwa wanyama wetu. jamani serikali wekeni trafic wa kutosha pale mikumi mbugani sawa

Trafiki wetu wako kwenye Miji yenye watu kulinda watu wetu dhidi ya madereva wakorofi na hawana muda wa kulinda wanyama, kwani kuna hasara gani mnyama akigongwa na Gari? Kesho si atazaliwa mwingine sasa kwa nini askari wetu wakalinde wanyama?
Acheni kulishwa propaganda na Wazungu mpaka mnasahau na kupoteza utu wenu!
 
mbona hushangai angani hakuna askari wa angani wala traffic lights ?
 
Wakuu jana nimepita Mikumi naenda Iringa lakini cha ajabu tulipopita katikati ya mbuga ya Mikumi hatukuona Trafic wa aina yoyote si wa kawaida wala wale wapiga tochi na pale magari yanapita spidi ajabu kitu ambacho ni hatari kwa wanyama wetu.

Jamani serikali wekeni trafic wa kutosha pale Mikumi mbugani sawa.

Wewe unataka kuwageuza Traffic wetu kitoweo cha Wazee wa Msimbazi.
 
Hahahaa hebu acheni vituko, askari traffic akakae na tochi mbugani hao simba, chui na chatu watamuacha??? Hata hivyo Mikumi hakuna haja ya tochi, zile bumps zinatosha kabisa!
 
hahahaa hebu acheni vituko, askari traffic akakae na tochi mbugani hao simba, chui na chatu watamuacha??? Hata hivyo mikumi hakuna haja ya tochi, zile bumps zinatosha kabisa!

mkuu si ndio majukumu yao lakini? Waende pale mikumi mbugani kuna magari yanavunja sheria pale
 
mkuu kwa nini pale mbugani mikumi hakuna mistari ya zebra?

Mikumi kuna vibao vya "Elephant Crossing".

4288820942.jpg

1783835947.jpg
 
Wakae waone kama hawajawa chakula cha simba
 
Hahahaa hebu acheni vituko, askari traffic akakae na tochi mbugani hao simba, chui na chatu watamuacha??? Hata hivyo Mikumi hakuna haja ya tochi, zile bumps zinatosha kabisa!

Kwa wanavyopenda rushwa hao simba wenyewe wanajiuliza mara mbilimbili wasije wakatwangwa notification.
 
Back
Top Bottom