Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 30,746
- 39,857
Kampuni nyingi zina jaribu kutoa aina mpya za teknolojia ambazo inabidi kusubiri au kuchukua kila mda lakini zimekuwa zikianguka kutokana na haraka haraka za hapa na pale.
Kabla ya iphone ya kwanza wote Kina Nokia, LG, na wengineo walikuwa na simu za touch screen kama iphone ila kwa some reason mulioanza kufatilia Tech juzi juzi munaamini hili.
- Mfano kampuni nyingi zilikuja na mfumo smart phone za kila aina .apple alipotoa smart phone yake wote wakafata mtindo wake.
Baada ya iphone kutoka cha kwanza Nokia alimpeleka Apple mahakamani kwa kumuibia Tech zake za Touch screen na mahakama ikamkuta Apple Guilty na Apple akaamriwa Kila Iphone inayouzwa $2 mpaka $8 alipwe Nokia pamoja na one time Fee.
Je kama Apple ni mgunduzi why analipa mabilioni ya Hela kwa Wakongwe wa Tech? kina Nokia, Qualcomm, Ericson etc.
By the way hii ni LG prada series ya simu ilioanza kabla ya Iphone.
Na hii Nokia 7710 ya mwaka 2004
Kamera ipi mkuu? Kama unaongelea dual Camera si alianza HTC? Karibia features zote za Camera Apple anacopy android. Hii htc one moja ya simu ya kwanza yenye camera zaidi ya moja.
- Mfano kampuni zilikuja na mfumo wa kamera ila apple alipotoa kamera basi wote nao wakafata.
Mfumo wa kushare nini?
- Mfano mfumo wa kushare nao hivyo hivyo.
Tuliwa discuss sana humu kuhusu Faceid ya Apple ila kiufupi ni same Tech iliotumika kwenye Xbox 360, Na surface za microsoft, kama kawaida Apple akiona kitu kizuri kwenye soko anaiga tu akainunua kampuni husika ili wa implement kwenye iphone.
- Mfano mwengine mambo ya kiusalama kama nywila na facesecurity hapa apple kawaweza sana.
Google anamlipa kila mtu si Apple tu na Google anamlipa Apple si kwa sababu Apple anataka kutoa search engine bali Apple angetumia competitor wa Google kama Bing basi watu wake wangeshuka.Kuna habari zinazo sema apple alitaka kutoa search engine ila google aliogopa na kila mwaka umlipa pesa kustop hiyo project
Kutengeneza search engine si kitu kidogo kwamba Apple aamue tu basi na iwe.